Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,281
Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe.Freeman Mbowe Alhamis, Mei 14, 2020, saa 5 asubuhi, atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Tutawataarifu zaidi. Asanteni.
===============
Mkutano wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe uliokuwa ufanyike mubashara kuzungumza na umma, hautafanyika kama ilivyopangwa, baada ya Jeshi la Tanpol kumhitaji akaripoti Ofisi ya RCO Kinondoni, Kituo cha Polisi Oyster bay.