Samahani natoka kwenye mada kidogo! Hiviiiii, hiyo dawa ya Madagascar imenyweka Dar tu, au na sisi ‘sayansitiski’ tuliopo nyumbani, huku mikoani tutaletewa tuionje?!!Huyu hajanywa ile dawa ya Madagascar hawezi kuzungumza ujinga, So tutegemea hotuba bora kabisa kutoka kwake.
Long Life Mbowe [emoji111][emoji110]
Atawashikaje akili wenye akili? Aliyewashikia akili wasio akili ni yule aliye mafichoni ambaye hata mikutano na wenzake haendi na walioshikiwa akili wanatumia nguvu kubwa kumteteaAtangaze kujiuzulu kabisa!
Haiwezekani mtu mmoja awashike akili bavicha nq chadema nzima kiasi hiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko dosi ya ukoo mzima imeletwa na hedikoputa ya geshiSamahani natoka kwenye mada kidogo! Hiviiiii, hiyo dawa ya Madagascar imenyweka Dar tu, au na sisi ‘sayansitiski’ tuliopo nyumbani, huku mikoani tutaletewa tuionje?!!
Wapi hawasemi ila aongelee posho wanarudisha au hawarudishi? Pili kwa nini anaadhibu wabunge Wa chadema kwa kuhudhuria vikao vya bunge ? Wakati ni wajibu wa mbunge kuhudhuria vikao
Simama kamanda, uwe mbadala wa Tundu lissu!!! Mabadiliko huanza na weweTangu Lissu apigwe risasi hakuna mwenye ujasiri wa kusema lolote hadharani, yaani hakuna aliyevaa viatu vya Lissu.
Ni ukweli usiopingika kuwa CDM tutapoteza viti vingi 2020 kuliko tunavyofikiria, na hii yote ni kutokana na uongozi mbovu uliopo ndani ya chama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia sindano ikuingieAtangaze kujiuzulu kabisa!
Haiwezekani mtu mmoja awashike akili bavicha nq chadema nzima kiasi hiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Andika kwa herufi ndogo utaeleweka tuVIPI KWANI KASHATENGA FEDHA ZA UMNASUA MUZA UNGA NA MLAJI MWENZAKE,MBOWE WACHA KUTUMIKA NA MABEBERU!!!!
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA