Freeman Mbowe leo atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa

Kama kiongozi Wa upinzani asisite kuzungumzia Tabia ya uvunjaji katiba, polis kubambikizia kesi RAIA wanaoikosoa serikali mitandaoni, pia mikakati mibovu ya kupambana Na corona
 
Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe.Freeman Mbowe Alhamis, Mei 14, 2020, saa 5 asubuhi, atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Tutawataarifu zaidi. Asanteni.
===============
Labda vyo vya habari vya kimataifa na baadhi ya online TV ila hizi nyingine sina hakika kama wataitikia wito

Pamoja na hayo yoooote, polisi watamruhusu kweli!?!?

Asijekuona juzi Mrema alifanya 'mkusanyiko" wa wanachama wake adhani na yeye ataruhusiwa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona wewe ni mjinga kiasi hiki?

Yani unataka mtu aje akuokoe na corona? Ina maana hujui kama haina dawa? Hujasikia njia za kujikinga nayo? Au unataka aje awe anakubeba mgongoni ndio useme anakulinda usipate corona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani natoka kwenye mada kidogo! Hiviiiii, hiyo dawa ya Madagascar imenyweka Dar tu, au na sisi ‘sayansitiski’ tuliopo nyumbani, huku mikoani tutaletewa tuionje?!!
Wewe wa mkoani sahau hilo, saa hv box zote zipo chatto!
 
Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mh Freeman A. Mbowe leo Alhamisi Mei 14, 2020, saa 5 asubuhi, atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Tutawataarifu zaidi.


 
Policcm watakuja kuvuruga wakati TLP juzi waliruhusiwa na NCCR mageuzi jana pia waliruhusiwa huko mtwara
 
mbowe ni wa kukamata,hotuba zake za hivi karibuni zinataka kupita idadi ya za meko kwa miaka yote 5,alafu akihotubia taifa anaongea point nzito nzito kuzidi meko🤣🤣
Meko anaumia sana
 
Tunamsubiri kiongozi mkuu Alpha na omega Jehova Mbowe Mungu wa siasa kiboko ya Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…