Freeman Mbowe na Hoyce Temu

Au kama ndo unaenda kwenye shughuli labda harusini.unamwambia mtu nyumbani basi ndo naenda hivi usisahau uwe unanidipu inapigwa simu kila mara wewe unakata, halafu unajidai dah sijui nani anasumbua
Umenichekesha sana...Yaani mkuu supermarket kubwa ilikuwa ile ya kujitegea "alarm" ili simu iiite mara kwa mara.Lengo ni kuonyesha kuwa na wewe una simu.I remember my "bird"...simu ya kwanza kuimiliki

Sasa sio sio anasa tena na alama ya "utajili",bali ni one of the basic need!!Inatukutanisha JF,Fb na sehemu mbalimbali kusoma magazeti na habari.Enzi hizo ilikuwa kupiga,kupokea na ujumbe mfupi.Ila sasa bila "simu janja" mtu huoni kama una simu
 
Simu zilikuwa hazina memory card lkn tulikuwa tunaskiliza mziki mfano nokia ringtone
 

Kumbukumbu nzuri sana ila uzi mzuri kidogo, "Wakina fulani wana miaka minne tu ya ubunge" Binafsi sijaona sababu ya kumbeza huyo aliyekua na miaka minne ya ubunge.
 
Kumbukumbu nzuri sana ila uzi mzuri kidogo, "Wakina fulani wana miaka minne tu ya ubunge" Binafsi sijaona sababu ya kumbeza huyo aliyekua na miaka minne ya ubunge.
Ni nani huyo kwani mkuu Tino100 kati ya Wabunge waliowahi kuwa wabunge wa Tz?
 
mwan umeshusha notes hadi nimependa, i wish ndo ungesikika sauti yako vile ulivyoelezea.....


Mbowe atabaki kuwa jembe la majembe tu....dadeki.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…