Freeman Mbowe na Hoyce Temu

Huyu mhuni eti ndio angekuwa Waziri mkuu iwapo chadema wangepewa nchi.. Asante Mwenyezi Mungu kwa kutuepusha na ili janga.
Mbona yule mwingine tulimpa nchi kabisa?
Mbona yule tuliimpa na nchi kabisaa...Na Bills ulikuwa uwanja wake wa nyumbani?haya mambo ni "Social Life" tu...Usiwe kama vile vizee vikuda,hata ukiwa na perfume tu anasema anasa.

Hizi Poverty Mentality za kuona maisha ya dhiki ndio "ugangwe" zinatupoteza...Kula bata mkuu mr gentleman maisha ndio haya haya
 
Downtown kitambo mtanieleza nini, wakati wengi wenu bado hamjaingia mjini.................... .(By Prof J).
 

Watu hawajui maisha ndio haya haya huko mbele giza ukipata doh tumia acha kuwa mzee mkuda
 
Hiyo simu aloweka mbowe kiunoni siyo Mobitel, ilikua ni Tritel,simu ambayo kwa wakati ule ndio simu iliyokua na mtandao wa GSM ambao ulikuwa unaweza kutuma sms mapedeshee wengi na matajiri wa wakati ule walikua wakiutumia mtandao huo nina uhakika na hilo na huyo Hoyce Temu baada ya kupata huo umiss alipata dili ya tangazo la Tv la Tritel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…