GreenCity
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 5,796
- 4,497
Mwe mweee mweee!Wakati huo mtukufu yupo chato anavua samaki.
Mbowe mtoto wa mjini toka kitambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwe mweee mweee!Wakati huo mtukufu yupo chato anavua samaki.
Mbowe mtoto wa mjini toka kitambo.
Hilo group ogopa lilikuwa na kina mbowe,Robert mareale,twaha ulimwengu etc maskani kubwa ni pale wapigapo njenje watu wanalewa na kutafuna watoto wa mjini balaaa wkt ukutaMiss Aspen,muandaaji alikua mdogo wa Freeman Charles,walitafunwa watoto kipindi hicho balaa.
Mtukufu alianza Ubunge 1995, hapo.alikuwa na miaka minne ya ubungeWakati huo mtukufu yupo chato anavua samaki.
Mbowe mtoto wa mjini toka kitambo.
Mbona yule mwingine tulimpa nchi kabisa?Huyu mhuni eti ndio angekuwa Waziri mkuu iwapo chadema wangepewa nchi.. Asante Mwenyezi Mungu kwa kutuepusha na ili janga.
kumbuka hiyo miaka mbowe anajipanga kugombea Urais.Mtukufu alianza Ubunge 1995, hapo.alikuwa na miaka minne ya ubunge
Haha hapo ndo utajua kuwa wa mjini sio kila kituWakati huo mtukufu yupo chato anavua samaki.
Mbowe mtoto wa mjini toka kitambo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Enzi za vimobitel. Unategesha alarm ukiwa kwenye kadamnasi ya watu halafu unapokea haloo kwa sauti kubwa.
Ilikuwa sigara sio biaMiss Aspen, " hii Aspen ilikuwa bia sijui lol kitambo sana
Jamani, alikuwa mbunge tayari wanduguWakati huo mtukufu yupo chato anavua samaki.
Mbowe mtoto wa mjini toka kitambo.
Utabaki hivyo hivyo na roho ya korosho.Pole sana.Mbowe sio wangu acha uzuzu.
Mtukufu yupi huyo alokuwa amemaliza chuo kikuu?
kinaruka hewani mida gani mkuu nije nimuone na mimi mda mrefu sana.Yupo channel ten katika kipindi cha Mimi na Tanzania
Miss Aspen, " hii Aspen ilikuwa bia sijui lol kitambo sana
Mbona yule mwingine tulimpa nchi kabisa?
Mbona yule tuliimpa na nchi kabisaa...Na Bills ulikuwa uwanja wake wa nyumbani?haya mambo ni "Social Life" tu...Usiwe kama vile vizee vikuda,hata ukiwa na perfume tu anasema anasa.
Hizi Poverty Mentality za kuona maisha ya dhiki ndio "ugangwe" zinatupoteza...Kula bata mkuu mr gentleman maisha ndio haya haya
Aspen ilikuwa sigara. Pakiti yake rangi nyeupe na blueMiss Aspen, " hii Aspen ilikuwa bia sijui lol kitambo sana
Siyo kweli,bali alikua anajipanga kugombea ubunge,kwani mwaka uliofata aligombea ubunge wa jimbo la HAI na kushinda.kumbuka hiyo miaka mbowe anajipanga kugombea Urais.
swissme
Hiyo simu aloweka mbowe kiunoni siyo Mobitel, ilikua ni Tritel,simu ambayo kwa wakati ule ndio simu iliyokua na mtandao wa GSM ambao ulikuwa unaweza kutuma sms mapedeshee wengi na matajiri wa wakati ule walikua wakiutumia mtandao huo nina uhakika na hilo na huyo Hoyce Temu baada ya kupata huo umiss alipata dili ya tangazo la Tv la Tritel.Back in the days!!Kiunoni Motorola sijui Siemens....Lkn ndio "fashiooo".Bila kuiweka simu nje ya kiuno watu wanakuona wakuja.Hapo zikiitwa "kimobitel" au "kivodacom".Mtu anakwambia weka "dola" kama unataka "kum-deep" jamaa yako.
Ndani ya Bills aka Bilicanas....Ile ya NHC na Mchechu!!Wakati wakina fulani wana miaka minne tu ya Ubunge.Hoyce Temu Miss Tanzania 1999 na Aikael F. Mbowe.Kumbukumbu ya wakati huo.Ama hakika wakati ni ukuta.Nyakati ngumu hudumu,lkn watu wagumu hupita na kutoweka!!
View attachment 398441