Freeman Mbowe na Hoyce Temu

Freeman Mbowe na Hoyce Temu

Nakumbuka hiyo siku ilivuma sana na sisi vijana wakati huo tupo mitaa ya Aggrey na Mansfield na kule karibu na long room wengine na briefcase zenye ofisi ndani.

Bila kusahau pale mahali patakatifu penye supu ya uhakika nyuma ya lile jingo refu la info sys.

Ikiwa full charged inamulika tu na kimulimuli cha kijani kukujulihsa ipo nawe.

Lol
 
Mzee mmoja alikuwa ni Afisa Usalama aliyetumwa na Nyerere kwenda kumwambia Mzee Aikaeli Mbowe kwamba ameruhusiwa kuagiza Jeneza la kumzikia mkewe nje ya nchi, alinisimulia kwamba kwa kina Mbowe vinywewa vilikuwa vinatolewa kwa chupa bila ya kupewa Glasi. Ukisema unakunywa "Johnie Walker" basi utapewa mzinga mzima bila ya glasi, ikibakia unabeba!
 
Hilo group ogopa lilikuwa na kina mbowe,Robert mareale,twaha ulimwengu etc maskani kubwa ni pale wapigapo njenje watu wanalewa na kutafuna watoto wa mjini balaaa wkt ukuta
Twaha Ulimwengu huyu huyu au kuna mwingine? Usiniambie huyu mzee nae alikuwemo sana enzi zake? Maana mie najua ni mdau wa vinywaji vikali
 
BASHHJTE HAPO HATA AJUI ATAKANYAGA LINI MJINI HATA VIATU HAJUI KUVAA
 
Miss wa watu nakumbuka baada ya hapo "washenzi" wakahakikisha wanampelekea BWM amlambe, Tanzania yangu hii safi sana, hahahhahha
 
Watu mnaongelea Freeman Mbowe kuja mjini kitambo?? Huyu ni mtoto wa mjini kazaliwa hapo Ocean Road, baba yake alikua na ofisi yake pale jengo Bushtrekker; watoto wa mjini watalijua. Na JN na mzee Mbowe walikua washkaji na kama JNyerere- rip angekuwepo hilo jengo lisingechukuliwa na NHC kabisa... wamemfanyia dhulumal tu.
 
Back
Top Bottom