Hoyce hazeeki.Heshima yako mtukufu Mbowe
True trueHoyce hazeeki.
Mbowe Ni kisu MzeeDah, 1999 Mbowe anamiliki Samsung SG 350?? Mimi hiyo nimemiliki 2005? Any way siyo mbaya!
Twaha Ulimwengu huyu huyu au kuna mwingine? Usiniambie huyu mzee nae alikuwemo sana enzi zake? Maana mie najua ni mdau wa vinywaji vikaliHilo group ogopa lilikuwa na kina mbowe,Robert mareale,twaha ulimwengu etc maskani kubwa ni pale wapigapo njenje watu wanalewa na kutafuna watoto wa mjini balaaa wkt ukuta
Sigara...Miss Aspen, " hii Aspen ilikuwa bia sijui lol kitambo sana
sigara sio biaMiss Aspen, " hii Aspen ilikuwa bia sijui lol kitambo sana
jamaaa mshamba sana eti aspen ni bia ??? sijui wa koromije gani huyoHiyo ni sigara
Miss Aspen, " hii Aspen ilikuwa bia sijui lol kitambo sana
ahahaaa alimlamba yule chifupi kama tofali?Miss wa watu nakumbuka baada ya hapo "washenzi" wakahakikisha wanampelekea BWM amlambe, Tanzania yangu hii safi sana, hahahhahha
Tena ndani ya kata ya iparamasa.Wakati huo mtukufu yupo chato anavua samaki.
Mbowe mtoto wa mjini toka kitambo.
Madimbwi ? Vidimbwi.Na kuogelea kwenye madimbwi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]