Freeman Mbowe na Hoyce Temu

Wakati huo Jpm anachunga ng'ombe huko usukumani na Mbowe yupo city centre ..

Bashite ndo alikuwa anafagia saloon Mwanza
 

Mbowe alikuwa na nyadhifa gani kipindi hicho
 
1999 si juzi tu...? Hio picha black and white utafikiri ya 1960s.
 
Wakati huo Jpm anachunga ng'ombe huko usukumani na Mbowe yupo city centre ..

Bashite ndo alikuwa anafagia saloon Mwanza
1999 wewe ulikuwa wapi? Rekodi zinaonesha alikuwa Naibu Waziri probably alikuwa anakaa Oysterbay au Ada estate.
 
Wakati huo mtukufu yupo chato anavua samaki.

Mbowe mtoto wa mjini toka kitambo.
jamaa kaanza uwazir kipindi cha Mkapa, hahahaaaaaa.......wakati ye yupo disco watu wapo mlimani wanalisha ubongo......hihihiiiiiii, mapenzi bhana.
 
kweli kabisa mkuu, Umasikini ni laaana kubwa sana. Maana mawazo ya masikini kila siku ni kuogopa matumizi tumia pesa ili upate pesa nyingine
 
bia 180.safari 250 ukiinywa over Heineken sasa hivi
Na Sigara ilikuwa bei gani? Kipindi icho maana hata bei sikumbuki tena, maana nilikuwa darasa la saba
Nachokumbuka ni msiba wa Nyerere, kipindi icho tuu zile nyimbo za Marehemu Komba
Kipindi icho apa ubungo kulikuwa na soko panaitwa Minazi. Duh long time sana, Enzi zile zilikuwa za kikuda sana, mzazi akirudi home kutoka kazini anakuwa kauzu kama dagaaa
 
Duh wakati huo nilikuwa naishi Shekilango nilikuwa bado mdogo sana pale kwenye yard ya mwanamboka niliokota noti nyekundu zikiwa zimefungwa raber band nakumbuka nilinpelekea ile pesa marehem brother kesho yake tulitoka pamoja tukaja kaliakoo akaninulia shati la mikono milefu lilikuwa limeandikwa Lee duh hii ni zamani sana
 
Tritel the better choice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…