Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aspen ilikuwa sigara.....nilikuwa napenda sana tangazo lake.Miss Aspen, " hii Aspen ilikuwa bia sijui lol kitambo sana
...and fact is yule 'mwenye miaka minne ya ubunge' ndio Rais sasa hivi...kumbuka hiyo miaka mbowe anajipanga kugombea Urais.
swissme
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...Daah nimecheka kweli yaniWakati huo mtukufu yupo chato anavua samaki.
Mbowe mtoto wa mjini toka kitambo.
Back in the days!!Kiunoni Motorola sijui Siemens....Lkn ndio "fashiooo".Bila kuiweka simu nje ya kiuno watu wanakuona wakuja.Hapo zikiitwa "kimobitel" au "kivodacom".Mtu anakwambia weka "dola" kama unataka "kum-deep" jamaa yako.
Ndani ya Bills aka Bilicanas....Ile ya NHC na Mchechu!!Wakati wakina fulani wana miaka minne tu ya Ubunge.Hoyce Temu Miss Tanzania 1999 na Aikael F. Mbowe.Kumbukumbu ya wakati huo.Ama hakika wakati ni ukuta.Nyakati ngumu hudumu,lkn watu wagumu hupita na kutoweka!!
View attachment 398441
[emoji23][emoji23][emoji23]Wakati huo Jpm anachunga ng'ombe huko usukumani na Mbowe yupo city centre ..
Bashite ndo alikuwa anafagia saloon Mwanza
1999 wewe ulikuwa wapi? Rekodi zinaonesha alikuwa Naibu Waziri probably alikuwa anakaa Oysterbay au Ada estate.Wakati huo Jpm anachunga ng'ombe huko usukumani na Mbowe yupo city centre ..
Bashite ndo alikuwa anafagia saloon Mwanza
Live long Freeman Aikael Mbowe
Jamaa anazeeka vibaya.
1999 kaaaa we rudi shule,Wakati huo mtukufu yupo chato anavua samaki.
Mbowe mtoto wa mjini toka kitambo.
jamaa kaanza uwazir kipindi cha Mkapa, hahahaaaaaa.......wakati ye yupo disco watu wapo mlimani wanalisha ubongo......hihihiiiiiii, mapenzi bhana.Wakati huo mtukufu yupo chato anavua samaki.
Mbowe mtoto wa mjini toka kitambo.
Teh teh tehMbowe sio wangu acha uzuzu.
Mtukufu yupi huyo alokuwa amemaliza chuo kikuu?
Alikuwa mbunge na waziri acha unafiki na uhongoWakati huo mtukufu yupo chato anavua samaki.
Mbowe mtoto wa mjini toka kitambo.
Kwani kaja twn au kaja kuongoza nchi?Hahaha Kwahiyo town kaja majuzi tu
kweli kabisa mkuu, Umasikini ni laaana kubwa sana. Maana mawazo ya masikini kila siku ni kuogopa matumizi tumia pesa ili upate pesa nyingineMbona yule mwingine tulimpa nchi kabisa?
Mbona yule tuliimpa na nchi kabisaa...Na Bills ulikuwa uwanja wake wa nyumbani?haya mambo ni "Social Life" tu...Usiwe kama vile vizee vikuda,hata ukiwa na perfume tu anasema anasa.
Hizi Poverty Mentality za kuona maisha ya dhiki ndio "ugangwe" zinatupoteza...Kula bata mkuu mr gentleman maisha ndio haya haya
Na Sigara ilikuwa bei gani? Kipindi icho maana hata bei sikumbuki tena, maana nilikuwa darasa la sababia 180.safari 250 ukiinywa over Heineken sasa hivi
Tritel the better choiceHiyo simu aloweka mbowe kiunoni siyo Mobitel, ilikua ni Tritel,simu ambayo kwa wakati ule ndio simu iliyokua na mtandao wa GSM ambao ulikuwa unaweza kutuma sms mapedeshee wengi na matajiri wa wakati ule walikua wakiutumia mtandao huo nina uhakika na hilo na huyo Hoyce Temu baada ya kupata huo umiss alipata dili ya tangazo la Tv la Tritel.