Aspen ilikua fegi mkuu!Miss Aspen, " hii Aspen ilikuwa bia sijui lol kitambo sana
Ilikuwa sigaraMiss Aspen, " hii Aspen ilikuwa bia sijui lol kitambo sana
Kwa hiyo una maana mtoto wa bush kaja town kawafunika born town na uwezo wao?Wakati huo mtukufu yupo chato anavua samaki.
Mbowe mtoto wa mjini toka kitambo.
jamaa kaanza uwazir kipindi cha Mkapa, hahahaaaaaa.......wakati ye yupo disco watu wapo mlimani wanalisha ubongo......hihihiiiiiii, mapenzi bhana.
Sigara 3 shs100Na Sigara ilikuwa bei gani? Kipindi icho maana hata bei sikumbuki tena, maana nilikuwa darasa la saba
Nachokumbuka ni msiba wa Nyerere, kipindi icho tuu zile nyimbo za Marehemu Komba
Kipindi icho apa ubungo kulikuwa na soko panaitwa Minazi. Duh long time sana, Enzi zile zilikuwa za kikuda sana, mzazi akirudi home kutoka kazini anakuwa kauzu kama dagaaa
Zilikuwepo sana tuMbowe kipindi hicho hamna kamera za rangi zilikuwa hazijafika dunia ya 3