Freeman Mbowe na Hoyce Temu

Freeman Mbowe na Hoyce Temu

jamaa kaanza uwazir kipindi cha Mkapa, hahahaaaaaa.......wakati ye yupo disco watu wapo mlimani wanalisha ubongo......hihihiiiiiii, mapenzi bhana.

Ok ndo alikuwa anachezea mabibo ya makorosho kumbe
 
Mbowe kipindi hicho hamna kamera za rangi zilikuwa hazijafika dunia ya 3
 
Na Sigara ilikuwa bei gani? Kipindi icho maana hata bei sikumbuki tena, maana nilikuwa darasa la saba
Nachokumbuka ni msiba wa Nyerere, kipindi icho tuu zile nyimbo za Marehemu Komba
Kipindi icho apa ubungo kulikuwa na soko panaitwa Minazi. Duh long time sana, Enzi zile zilikuwa za kikuda sana, mzazi akirudi home kutoka kazini anakuwa kauzu kama dagaaa
Sigara 3 shs100
 
Back
Top Bottom