Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
9,866
Reaction score
5,747
Katika kile kinachosemekana ni kuficha ukweli pengine kwa sababu ya nyadhifa zao ama kuhakikisha hakutokei matatizo ya kifamilia, Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi ya upinzani bungeni, Freeman Aikaeli Mbowe na Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo Joyce Mukya, wamelazimika kutumia Mjomba wa mtoto wao Cayla-Stacy aliyezaliwa 16 aprili, 2013 ili kufanikisha kupatikana kwa shahada ya kuzaliwa.

William Christopher Shechambo, mjomba wa Cayla-Stacy(kaka wa Joyce Mukya) ndiye aliyepewa jukumu la kuhakikisha mpwa wake anapata shahada ya kuzaliwa badala ya wazazi wa mtoto kama ambavyo imezoeleka.

Vifuatavyo ni viambatisho vya fomu ya RITA na kadi ya Kliniki ya Mtoto.

mb1.v02.jpg

mb2.jpg

mb3.jpg

mb4.jpg
 
Sababu haswa ya wao kufanya hivyo ni nn mbona unaandika kitu kisichokua na afya??? Sema kitu chenye afya tukuelewe na tuweze changia
 
KAtika kile kinachosemekana ni kuficha ukweli pengine kwa sababu ya nyadhifa zao ama kuhakikisha hakutokei matatizo ya kifamilia, Mbunge wa hai na Kiongozi wa Kambi ya upinzani Bungeni, FREEMAN AIKAELI MBOWE na Mbunge wa viti Maalum kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo, JOYCE MUKYA wamelazimika kutumia MJOMBA wa mtoto wao CAYLA-STACY aliyezaliwa 16 Aprili, 2013 ili kufanikisha kupatikana kwa shahada ya kuzaliwa. WILLIAM CHRISTOPHER SHECHAMBO, MJomba wa CAYLA-STACY(KAKA wa JOYCE MUKYA) ndiye aliyepewa jukumu la kuhakikisha Mpwa wake anapata shahada ya kuzaliwa badala ya Wazazi wa mtoto kama ambavyo imezoeleka. Vifuatavyo ni viambatisho vya fomu ya RITA na KADI YA KLINIKI YA MTOTO
View attachment 211683View attachment 211684View attachment 211685View attachment 211687

Mh we kweli hamnazo.unapiga chabo sana utaishia kupiga punyeto wenzio wanapiga mzigo.punguza uswaa uelimike
 
KAtika kile kinachosemekana ni kuficha ukweli pengine kwa sababu ya nyadhifa zao ama kuhakikisha hakutokei matatizo ya kifamilia, Mbunge wa hai na Kiongozi wa Kambi ya upinzani Bungeni, FREEMAN AIKAELI MBOWE na Mbunge wa viti Maalum kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo, JOYCE MUKYA wamelazimika kutumia MJOMBA wa mtoto wao CAYLA-STACY aliyezaliwa 16 Aprili, 2013 ili kufanikisha kupatikana kwa shahada ya kuzaliwa. WILLIAM CHRISTOPHER SHECHAMBO, MJomba wa CAYLA-STACY(KAKA wa JOYCE MUKYA) ndiye aliyepewa jukumu la kuhakikisha Mpwa wake anapata shahada ya kuzaliwa badala ya Wazazi wa mtoto kama ambavyo imezoeleka. Vifuatavyo ni viambatisho vya fomu ya RITA na KADI YA KLINIKI YA MTOTO
View attachment 211683View attachment 211684View attachment 211685
View attachment 211687
kwa hiyo wanatafuta mdhamini wa ubatizo au?
 
Sababu haswa ya wao kufanya hivyo ni nn mbona unaandika kitu kisichokua na afya??? Sema kitu chenye afya tukuelewe na tuweze changia
Unajua waru wakizoea kuiba wanajua jinsi ya kujificha
 
ndiyo maana baada ya matokeo mbowe alikimbia pale Hai kumbe alikuwa na mchakato wa kwenda kutengeneza cheti bandia
 
Back
Top Bottom