MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,267
Thread za hivi Lumumba buku 7 fc utawapata sana.
mambo ya mahusiano ni magumu sana, pita vijiwe vya pweza uone!
na ukimaliza ya Mbowe, hamia kwa Kinana utuambie mke wake nani na mtoto wake nani?
Mbona BABU akifanya hivyo akili yake inazidi kuwa mbovu?
Babu yako yupi mkuu?
Mbowe amezaa na joyce watoto wangapi. kuna huyu CAYLA na FREELADY
Wakuu kwa sifa hizi mnataka tuamini kuwa hata baadhi ya nyie buku saba wa Lumumba ni watoto wa Mheshimiwa Mbowe?
kwan ubaya uko wap? Mbona kikwete ana watoto kibao,hata shinyanga yupo tewma anaitwa kwa ubini wa jakaya kikwete,hata leo nakupeleka,ngokolo shinyanga
Makubwa haya. Mbowe ana nyumba ndogo nyingi sana
hata Yericko
Uzinzi ni kigezo kimojawapo cha kunyimwa uongozi!
kwan ubaya uko wap? Mbona kikwete ana watoto kibao,hata shinyanga yupo tewma anaitwa kwa ubini wa jakaya kikwete,hata leo nakupeleka,ngokolo shinyanga
Makubwa haya. Mbowe ana nyumba ndogo nyingi sana
Hivi kuna taahira kumzidi Freeman Mbowe?
Mh Mbowe na Mzee wetu Mengi unapowaona maeneo tofauti unawaona kama watu serious na committed kwelikweli.
Kwenye maisha binafsi utawahurumia sana.