Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Umeshaweka VIAMBATANISHO vya watoto wako kwenye mitandao?Acha upuuzi wakuingilia mambo ya ndani ya wengine.Wewe pia yawezekana baba wa mtoto wako siyo mumeo wa ndoa!Kwanini kumuingilia mtu mwingine sababu tu ni wa upinzani mpaka kwenye nguo zake za ndani?

Viongozi wengi wa CCM 99% yao ni WACHAFU kupindukia kuanzia na huyo Mwenyekiti wa Hicho chama Chenu cha Mafisadi.

Wabakaji wako humo humo,kina Komba,na yule Prof aliyebaka Mwanafunzi wa miaka 16.Acha ujinga,usidhani Watanzania mabwege,tunawajua vizuri
haa haa umewakamata penyewe! Nasikia ndani ya ccm huwezi pewa viti maalumu bila kuwahudumia wenye chama chao, watoa mifano ya kina kamata, nipata na wengineo.
 
haa haa umewakamata penyewe! Nasikia ndani ya ccm huwezi pewa viti maalumu bila kuwahudumia wenye chama chao, watoa mifano ya kina kamata, nipata na wengineo.

Hawa kaka wanapenda sana kufuatilia maisha ya watu na ya kwao wanadhani ni siri.Hivi kuna mtu asiyejua tabia za wabantu?Mbona kwa wanaume kuwa na watoto nje kwa Muafrika hata walioko Ulaya ni kitu cha kawaida sana.

Sasa kama UTAMADUNI wetu unaruhusu sioni sababu ya kuvunjiana heshima kwenye mitandao.Na kila binadamu anaanguka hakuna binadamu mkamilifu.
 
teh teh, uongozi gani mkuu? Kama hicho kingekuwa kigezo jk asingekuwa pale magogoni, pia mwigulu asingekuwa naibu waziri wa fedha, na hata adamu malima asingeendelea kuwa naibu waziri wa fedha kamwe.

Na wala JK asingekuwa RAIS
 
Tanzania hakuna kiongozi hata mmoja atasimama hapa tuseme ni kiongozi msafi ambaye anapaswa kuwa kioo cha jamii!! Mleta mada elewa kabisa hii ni kuanzia ikulu mpaka uvunguni mwa mama yako!! Kwani Mbowe kuzaa na Mukya kuna ubaya gani? Kama ameamua kuwa Mu-Lutheli aliyeendelea kuna ubaya gani? Au ulitaka azae na Wewe? Wivu Wa kike huooooo!!
 
Mbona mkuu wa Magogoni anao watoto kibao wa nje hamsemi? Uliza vic kama...ta Baba mtoto wake ni nani?
 
Zisiwachanganye hizo kadi. Zipo kibao kama takataka. Yoyote anaweza zijaza. Hata dampo utazikuta ambazo ziko plain.
 
Na wizi unaitafuna ccm bora fuska kuliko mwinzi

Huko CCM kuna UFUSKA usio na kifani.Hata huyo Rais wetu sketi isinipite halali yangu.Sioni wanachokiongelea sana wanamfanya mwenyekiti wao azidi kudhalilika tu mitandaoni.

Ningewashauri wote wanaopenda kuwatukana wapinzaniwangeacha maana mwisho wa siku anayedhalilika ni RAIS.Pole sao kama hawaelewi hata hili dogo.

Kuiba wao,Majangili wao,Majambazi wao,Uzinzi na ubakaji wao (Prof Kapuya na John Komba)Sina uhakika kama wanavigezo vya kumnyooshea mwingine kidole
 
Kwani wanajanvi niwaulize swali ninani ana maoni kuwa baba ALIE nae ni baba take halali? Na kama utasema unajua ni nyingi maana ulie nae umesimuliwa na mama yakoooo.
 
Amina Chifupa,Rahma Al kharoos,Mtoto Wa ASAS iringa,Vicky Kamata bado kuna wale anaowapeleka serengeti ktk hotel yake miezi kama hii ya dec

Uwezo huo sasa hivi anao tena? Labda awapeleke wakamtie madole.
 
Ukiangalia hizo form utashawishika kwamba zimejazwa na mtu mmoja. Hata sehemu ya huyo aitwaye mjomba. Kama nimekosea basi hawajajaza watu zaidi ya watu wawili.
Kwenye card kuna vitu ambavyo vinachanganya. Kwanza zaidi ya visits 17 huyo mtoto anakuwa attended na nurse mmoja. Mwandiko uleule. Ukiona zile 'hajambo' alizoandika na hizo vaccines alizotoa utajua ni mtu mmoja. Sina uhakika na hizo tarehe za ku attend kliniki labda madaktari wa watoto wanaweza wakasema.
Lakini pia kuna shida ya tarehe. Mtoto kawa attended tarehe 30/07/2013 siku ya jumapili. Inawezekana kama alikuwa ana attend private kliniki na sio kwa public. Pia kuna tarehe 23/09/2013 ambayo ni jumamosi.
Kwa ufupi, mimi sifahamu maisha binafsi ya Mbowe, na hayatanisaidia kuondoa umaskini wa ndugu zangu kule kijijini, lakini pia ni vizuri tujitahidi kuepuka kudanganya watu kwa kutumia ujinga wetu ili kuonesha fulani mbaya. Hizi document zimefojiwa. Na kwa makusudi kabisa mtengenezaji ameamua zisiwe clear. Ameamua kuifanya ionekane kama copy ya copy wakati amejaza wenyewe na kuitoa copy.
 
Suala ni uadilifu wa kiongozi,awe rais,awe kiongozi wa chama au mtu yeyote yule anayetaka kutuongoza nyakati zijazo ni lazima tumpime uadilifu wake. Uongozi ni uadilifu kama sasa hakuna uadilifu,je tuendelee kubaki hivyo kutokana na ushabiki tu?
 
Lets discuss issues and not people and their private life!!

Tuna ESCROW, chaguzi serikali za mitaa, Ukosefu wa dawa na vitendanishi mahospitalini etc etc..
 
Back
Top Bottom