nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
maskini weee! Ungejua hayo unayoyasema kwa viongozi wako ndo ni mara 100 zaidi wala usingesema! Jk ana watoto hakunaga kamwe. Malima aliibiwa pale morogoro hotel huku akizini na malaya. Usisingizie dini katika hayo, hapo ni suala la tamaduni za kiafrika halina uccm ,uchadema waka ucuf. Halina muislamu wala mkristo. Jamii yetu ina masheikh, mapadre na hata maaskofu wenye watoto kibao huko mitaani tena wa nje ya ndoa!Haya ndiyo maadili ya kiongozi wa chama cha upinzani.
Ana mke na watoto na bado hatosheki na anakwenda kinyume na mafundisho ya dini yake na kufanya zinaa na mbunge wake wa viti maalum.
Viti maalum vya chadema kigezo chake kikubwa na cha kwanza ni hicho.
Dah! inasikitisha sana.