Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

kwani chadema imeingiaje hapo? Mbowe ndo cdm? Je sheikh mmoja akizini ndo msikiti umezini? Je padre akizini na kanisa limezini? Je mantiki yako ni nini? Je malima alipozini pale moro kama naibu waziri, je wizara anayoiongoza ndo imezini? Huo ushabiki hauna maana yoyote. Tusiingize siasa katika mambo binafsi ya watu.
Mambo binafsi yanapogharamiwa kwa kodi zetu lazima tupige kelele. Kiongozi wetu wa kitaifa anapokwenda ndivyosivyo hatuwezi kunyamaza.

Huyo Malima uloomkomalia alizini na nani?
 
Hauna ushahidi wa hili hata chembe. Unampa mwanamke UBUNGE wa VITI MAALUM kwa kuwa ni nyumbandogo?
haa haa, sema wewe huna ushahidi. Huo ndo ukweli malima aliibiwa morogoro hotel huku akifanya uzinifu. Sio huyu tu, fuatilia nyendo za hawa wafuatao, mwigulu nchemba, george simbachawene, vick kamata,nk. Suala la hili la zinaa halina na itikadi mkuu.
 
Haya ndiyo maadili ya kiongozi wa chama cha upinzani.

Ana mke na watoto na bado hatosheki na anakwenda kinyume na mafundisho ya dini yake na kufanya zinaa na mbunge wake wa viti maalum.

Viti maalum vya chadema kigezo chake kikubwa na cha kwanza ni hicho.

Dah! inasikitisha sana.

If anything, mahusiano ya wawili hao yalianza baada ya huyu dada kuwa Mbunge (?). Hivyo, hoja yako kuwa alipewa Ubunge kwa kuwa alikuwa na mahusiano na Mwenyekiti inakosa premise. Hii haina maana kuwa natetea extra-marital affairs. Lakini nafahamu kuwa (and this is from research) human being is naturally a polygamous creature. Monogamy is simply socially constructed and not at all natural (FaizaFoxy, hujawahi kuzini?). Wachache ambao hubaki njia kuu ni kwa kujizuia tu na si kwa sababu it occurs naturally to them.

PS. Nimpongeze Mhe. Mbowe kwa kuwa wazi na hili suala japokuwa watu anafahamu watu watahoji uadilifu wake na kujenga hoja kuwa hana sifa za kuwa kiongozi. Kwa sababu za kisiasa angeweza kuficha na hata kukana mahusiano na huyu dada na mtoto mwenyewe. He just need to be careful to avoid conflict of interests.
 
binafsi sijaelewa kodi ya serikali kivip?
Huyu Mama Mukya ni Mbunge wa VITI MAALUM. Analipwa mshahara na stahili nyingine zote za kibunge na mwakani atalipwa pensheni kubwa tu kumalizia Ubunge wake huu.

Hiki kiti maalum cha Ubunge kakipata kwa kuwa ni kimada wa Mh Mbowe! Hakuwa na sifa nyingine kubwa kuliko hiyo!
 
Ukweli mchungu huu ambao watu wengine hawataki kuusikia kabisa lakini ukweli lazima usemwe hata kama unauma.
 
huyu mbowe ni mbunge wangu ila napenda kumjulisha kuwa, ajipange kwa kutafuta kazi ya kufanya sababu uchaguzi wa mwaka kesho hatutomrudisha bungeni. kwani sisi wananchi wa hai tumechoka na longolongo zake wakati jimboni kwake hakuna kitu alichofanya hadi leo miaka 5 inaisha ahadi alizoahidi hakuna hata moja aliotekeleza.
 
haa haa, sema wewe huna ushahidi. Huo ndo ukweli malima aliibiwa morogoro hotel huku akifanya uzinifu. Sio huyu tu, fuatilia nyendo za hawa wafuatao, mwigulu nchemba, george simbachawene, vick kamata,nk. Suala la hili la zinaa halina na itikadi mkuu.
Kumbe ndiyomaana mzee slaa anaendeleza uzinzi kwenye chama halafu mnamchekea kumbe kwenu ni kawaida sana tu.
 
Mambo binafsi yanapogharamiwa kwa kodi zetu lazima tupige kelele. Kiongozi wetu wa kitaifa anapokwenda ndivyosivyo hatuwezi kunyamaza.

Huyo Malima uloomkomalia alizini na nani?
..tafuta wewe mwenyewe, mbowe ametumia kodi ipi ya serikali? Yaani nimeamini nyani haoni kundule, je jk hilo tezi lake kutibiwa ametumia pesa yake binafsi au ya umma? Je yule malima alitumia pesa yake binafsi ama..
 
haa haa, sema wewe huna ushahidi. Huo ndo ukweli malima aliibiwa morogoro hotel huku akifanya uzinifu. Sio huyu tu, fuatilia nyendo za hawa wafuatao, mwigulu nchemba, george simbachawene, vick kamata,nk. Suala la hili la zinaa halina na itikadi mkuu.
Hawa uliowataja pamoja na mimi tunafanya zinaa kwa mishahara na mapato yetu mengine. Kwa nini umpe ajira au Ubunge mtu kwa kuwa ni nyumbandogo au kimada?
 
Huyu Mama Mukya ni Mbunge wa VITI MAALUM. Analipwa mshahara na stahili nyingine zote za kibunge na mwakani atalipwa pensheni kubwa tu kumalizia Ubunge wake huu.

Hiki kiti maalum cha Ubunge kakipata kwa kuwa ni kimada wa Mh Mbowe! Hakuwa na sifa nyingine kubwa kuliko hiyo!
haa haa kwa hiyo kama analipwa na bunge, je pesa yake haruhusiwi kuitumia atakavyo? Je una ushahidi gani kama yule joyce mukya hakuwa na sifa ya kuwa mbunge? Je jama mahusiano yalianza baada ya kuwa mbunge? Mbona mh. Hamis kaghasheki ana mahusiano na mbunge mwenzake magige? Je hilo unalionaje? Bado nasisitizia hayo ni mambo binafsi haya mahusiano na vyama!
 
Eeeehhh...kumbe Mbowe kazaaa kabisa na Joyce...so mke wa pili wa Mbowe ila KWA ZINAAA....!!!!

Dr. Slaa nae mambo ya zip yamemshinda muda tu....

Mwenyekiti wake nae ndio KAMA YEYE.....

SO WAZINIFU WOTE VIONGOZI WA NCHI HII...kuanzia CCM huko ndio usiseme...wengine hawajui watoto wao...

So DON'T FOLLOW these people ain't leaders, ARE PROSTITUTES....!!!!
 
..tafuta wewe mwenyewe, mbowe ametumia kodi ipi ya serikali? Yaani nimeamini nyani haoni kundule, je jk hilo tezi lake kutibiwa ametumia pesa yake binafsi au ya umma? Je yule malima alitumia pesa yake binafsi ama..
Mbowe kampa kimada Ubunge. Analipwa kwa kodizetu. Rais wetu kutibiwa kwa kodi zetu ni stahili yake na ataendelea kutibiwa kwa kodizetu hadi atakapoondoka duniani.

Malima kama alilipwa night au travelling allowance alikuwa na haki ya kuzitumia anavyotaka.
 
Uzinzi kwa chadema ni jadi kila mtu anajua hilo.
hakuna uzinzi wa chadema, ccm wala cuf. Kuna uzinzi wa mbowe, malima,kikwete, simbachawene na hata mwigulu mkuu. Hayo ni mambo binafsi ya watu! Hayahusiani na taasisi zao.
 
Wewe ni nyumba ndogo ya mbowe au nyumba kubwa? Au wewe ndiye mama wa mtoto,haya twambie kwanini mnatumia mtu mwingine kupata cheti cha mtoto wenu.
Hapo hakuna kilicho fichwa, ni ufunyu tu wa akili kwamaana jina la baba limetajwa wazi, hata mimi nilitumia ndugu yangu kupata cheti cha mtoto wangu wa mwisho hiyo ni kwasababu ya nafasi ya muhusika, ukifika kwenye ofisi zinazohusika ni foleni kwahiyo kama kuna ndugu yako anaweza kukusaidia inakubalika.
 
Jadili mambo ya kitaifa Ulete mambo ya kitoto hapa Taifa lipo katika Hali mbaya alfu unaleta mambo ya mtu itusaidie nini?
 
haa haa kwa hiyo kama analipwa na bunge, je pesa yake haruhusiwi kuitumia atakavyo? Je una ushahidi gani kama yule joyce mukya hakuwa na sifa ya kuwa mbunge? Je jama mahusiano yalianza baada ya kuwa mbunge? Mbona mh. Hamis kaghasheki ana mahusiano na mbunge mwenzake magige? Je hilo unalionaje? Bado nasisitizia hayo ni mambo binafsi haya mahusiano na vyama!
Sifa kubwa iloompatia Ubunge Mukya ni hiyo ya uhusiano wake na Mh Mbowe. Sifa nyingine anazo; ni Mtanzania; miaka zaidi ya 21;....

Kaghasheki na Magige wote ni vidampa tu ndani ya mfumo wa viti maalum vya CCM.
 
Wewe cheti chako ulidhaminiwa na nani? Sioni jambo la ajabu hapo. Kama wangekuwa wamedanganya kwenye taarifa za wazazi wa mtoto ndiyo kungekuwa na Habari. Hapo hakuna Habari, hiyo ni taarifa tu.
 
Back
Top Bottom