Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Ukiangalia hizo form utashawishika kwamba zimejazwa na mtu mmoja. Hata sehemu ya huyo aitwaye mjomba. Kama nimekosea basi hawajajaza watu zaidi ya watu wawili.
Kwenye card kuna vitu ambavyo vinachanganya. Kwanza zaidi ya visits 17 huyo mtoto anakuwa attended na nurse mmoja. Mwandiko uleule. Ukiona zile 'hajambo' alizoandika na hizo vaccines alizotoa utajua ni mtu mmoja. Sina uhakika na hizo tarehe za ku attend kliniki labda madaktari wa watoto wanaweza wakasema.
Lakini pia kuna shida ya tarehe. Mtoto kawa attended tarehe 30/07/2013 siku ya jumapili. Inawezekana kama alikuwa ana attend private kliniki na sio kwa public. Pia kuna tarehe 23/09/2013 ambayo ni jumamosi.
Kwa ufupi, mimi sifahamu maisha binafsi ya Mbowe, na hayatanisaidia kuondoa umaskini wa ndugu zangu kule kijijini, lakini pia ni vizuri tujitahidi kuepuka kudanganya watu kwa kutumia ujinga wetu ili kuonesha fulani mbaya. Hizi document zimefojiwa. Na kwa makusudi kabisa mtengenezaji ameamua zisiwe clear. Ameamua kuifanya ionekane kama copy ya copy wakati amejaza wenyewe na kuitoa copy.

hayo mengine uliyoandika wauguzi wanaweza kutusaidia. Kwa tarehe za clinic kupangwa siku ya Jumapili si kigezo kwani clinic unaweza kwenda wakati wowote hasa hii ya kujua tu uzito. Cha muhimu hapa ni Mbowe kuzaa na Joyce na kumtumia mjomba wake kuandaa cheti cha kuzaliwa. Ni aibu kwa mtu ambaye amefunga pingu ya maisha ku do na asiye mkewe.
 
Lets discuss issues and not people and their private life!!

Tuna ESCROW, chaguzi serikali za mitaa, Ukosefu wa dawa na vitendanishi mahospitalini etc etc..

mkuu, hata hapa kinachojadiliwa ni kitendo cha Mbowe kuzaa nje ya ndoa na kumtumia kaka wa Joyce kutafuta cheti cha kuzaliwa cha mtoto wake. Hakuna tukio linalotokea ambalo halihusishi watu
 
mkuu, hata hapa kinachojadiliwa ni kitendo cha Mbowe kuzaa nje ya ndoa na kumtumia kaka wa Joyce kutafuta cheti cha kuzaliwa cha mtoto wake. Hakuna tukio linalotokea ambalo halihusishi watu

And what is wrong with that?
 
pinda hakuzaa nje asiondolewe uwaziri mkuu kwa kashfa ya escrow

mbowe kazaa njee aondolewe kuwa KUB kwa sababu anachelewesha maendeleo
 
mkuu, hata hapa kinachojadiliwa ni kitendo cha Mbowe kuzaa nje ya ndoa na kumtumia kaka wa Joyce kutafuta cheti cha kuzaliwa cha mtoto wake. Hakuna tukio linalotokea ambalo halihusishi watu

Ulitaka uolewe au kuzaa naye wewe? Kawaulize kina William malecela babake akiwa ndani ya ndoa amezaa na wanawake wangapi nje ya ndoa akiwemo mamake William. Captain John Komba ana mke wa ndoa na amezaa na wanawake wengine nje ya ndoa. Tunaelewa taratibu za dini yao hziruhusu na hiyo dhambi ni Yao it's their private life why making noise about Mbowe.
 
Hawa kaka wanapenda sana kufuatilia maisha ya watu na ya kwao wanadhani ni siri.Hivi kuna mtu asiyejua tabia za wabantu?Mbona kwa wanaume kuwa na watoto nje kwa Muafrika hata walioko Ulaya ni kitu cha kawaida sana.

Sasa kama UTAMADUNI wetu unaruhusu sioni sababu ya kuvunjiana heshima kwenye mitandao.Na kila binadamu anaanguka hakuna binadamu mkamilifu.
umemaliza dadaangu! Mungu akubariki.
 
Tanzania hakuna kiongozi hata mmoja atasimama hapa tuseme ni kiongozi msafi ambaye anapaswa kuwa kioo cha jamii!! Mleta mada elewa kabisa hii ni kuanzia ikulu mpaka uvunguni mwa mama yako!! Kwani Mbowe kuzaa na Mukya kuna ubaya gani? Kama ameamua kuwa Mu-Lutheli aliyeendelea kuna ubaya gani? Au ulitaka azae na Wewe? Wivu Wa kike huooooo!!
ni kweli mkuu, tatizo la wanaccm wanatupa mawe huku wamejificha kwenye nyumba za vioo! Hakuna anayesalimika kwa hayo kamwe kama ni kwa waafrika, kwa mfano mbunge wa mbinga magharibi kept. Komba ana wasichana wadogo kila eneo mpaka wanafunzi.
 
Huko CCM kuna UFUSKA usio na kifani.Hata huyo Rais wetu sketi isinipite halali yangu.Sioni wanachokiongelea sana wanamfanya mwenyekiti wao azidi kudhalilika tu mitandaoni.

Ningewashauri wote wanaopenda kuwatukana wapinzaniwangeacha maana mwisho wa siku anayedhalilika ni RAIS.Pole sao kama hawaelewi hata hili dogo.

Kuiba wao,Majangili wao,Majambazi wao,Uzinzi na ubakaji wao (Prof Kapuya na John Komba)Sina uhakika kama wanavigezo vya kumnyooshea mwingine kidole
haa haa, jf bhana!
 
Ukiona hivyo ujue hakuna tofauti kati ya ccm na upinzani wote ni wale wale na usiitegemee ukiwapa nchi upinzani kutakuwa na changes kwa kuwa tabia ni zile zile na wanareflect jamii nzima ya watz jinsi ilivyo kutetea uchafu na then tunataka tupate maendekeo yatoke waoi wkt wote tunawaza ngono tu kuanzia viongozi mpk wananchi. Ukitaka kuchukua nchi hakikisha uwe tofauti na adui zako lakini mkifanana tabia sio vizuri.
 
kwa Mwenyekiti wa chama kinachojinasibu kushika dola kuzaa zaa hovyo ni ishara mbaya
kuzaa halijawahi kosa la jinai kamwe, ndo maana jk ana watoto wasio na idadi, toka sinza,kigoma , nk. Mwanaume asiyezalisha sio mwanaume wa ukweli kwa tamaduni zetu za kiafrika. Ndo maana hata jacobu zuma wa sa. Ana wake zaidi ya watano achana na wa mitaani. Maisha binafsi ya kiongozi hayatuhusu, ndo maana pamoja na adamu malima kuibiwa na malaya pale morogoro hotel watanzania hawakuangaika, walijua ni mambo yake binafsi.
 
,.,,......

Accordingly to Che Guevera aliwahi kusema kwamba "Mkombozi/ Mpiganaji wa kweli hawezi kuwa mzinzi au mlevi" na hii ni kwa sababu upiganaji ni sacred movement hivyo kwa mpiganaji na mtetezi wa haki za wanyonge kujihusisha na uchafu huo ni kuzinajisi harakati.
.
Kumbe... Mimi nilikuwa nashangaa, hivi kwa nini nchi inakumbwa na skandali mbaya mbaya... Maana utasikia EPA, RADA, ESCROW, MAUAJI YA WAANDISHI WA HABARI NA RAIA, MADAWA YA KULEVYA, mara utasikia mtoto wake kidogo anyongwe China... Kumbe hii yote "kajitu mtu" ndiye anatusababisha yote haya kwa tabia "zake"
.
 
hayo mengine uliyoandika wauguzi wanaweza kutusaidia. Kwa tarehe za clinic kupangwa siku ya Jumapili si kigezo kwani clinic unaweza kwenda wakati wowote hasa hii ya kujua tu uzito. Cha muhimu hapa ni Mbowe kuzaa na Joyce na kumtumia mjomba wake kuandaa cheti cha kuzaliwa. Ni aibu kwa mtu ambaye amefunga pingu ya maisha ku do na asiye mkewe.
haa haa, kweli nyani haoni kundule, je yule adamu malima aliyezini na wale malaya pale morogoro hotel mpaka kuibiwa je? Je yule mwigulu nchemba aliyekamatwa na mke wa mtu kule igunga hakuwa kiongozi? Je yule naibu waziri wa nyumba na ardhi aliye kamatwa na mke wa mtu kule singida ambaye alikuwa ni polis vip? Je jk aliyezaazaa hovyo kama simbilis unasemaje?
 
Haya ndiyo maadili ya kiongozi wa chama cha upinzani.

Ana mke na watoto na bado hatosheki na anakwenda kinyume na mafundisho ya dini yake na kufanya zinaa na mbunge wake wa viti maalum.

Viti maalum vya chadema kigezo chake kikubwa na cha kwanza ni hicho.

Dah! inasikitisha sana.
 
Ukiona hivyo ujue hakuna tofauti kati ya ccm na upinzani wote ni wale wale na usiitegemee ukiwapa nchi upinzani kutakuwa na changes kwa kuwa tabia ni zile zile na wanareflect jamii nzima ya watz jinsi ilivyo kutetea uchafu na then tunataka tupate maendekeo yatoke waoi wkt wote tunawaza ngono tu kuanzia viongozi mpk wananchi. Ukitaka kuchukua nchi hakikisha uwe tofauti na adui zako lakini mkifanana tabia sio vizuri.

Kwa wabantu au tuseme WAAFRIKA tumekuwana tamaduni tofauti tofauti,kwa wenzetu hili la kuwa mwaminifu kwa familia yako ni kigezo tosha cha kukupa uongozi,au kukuondoa kwenye uongozi,tuikumbuke ya Clinton,kilichombeba akabaki ni kukiri ukweli na kuomba radhi na pili perfomance yake kwenye Taifa lake.
 
Ukiona hivyo ujue hakuna tofauti kati ya ccm na upinzani wote ni wale wale na usiitegemee ukiwapa nchi upinzani kutakuwa na changes kwa kuwa tabia ni zile zile na wanareflect jamii nzima ya watz jinsi ilivyo kutetea uchafu na then tunataka tupate maendekeo yatoke waoi wkt wote tunawaza ngono tu kuanzia viongozi mpk wananchi. Ukitaka kuchukua nchi hakikisha uwe tofauti na adui zako lakini mkifanana tabia sio vizuri.
mkuu hayo mambo ni matokeo ya tamaduni za kiafrika, hayana chama wala dini, kwa tamaduni za kiafrika kuzaa nje ya ndoa sio jambo la kushangaza kamwe, ndo maana ukiamua kulifuatilia kwa ujumla wake hakuna upande unaopona uwe wa dini au vyama vya siasa! Wanachotaka watanzania ni ustawi wa maisha yao, ufisadi, rushwa na hata unyanyasaji ndo mambo yanayowakera zaidi, na sio mambo binafsi ya watu.
 
Back
Top Bottom