Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

sasa wewe mtoa mada cha ajabu hapo kinachokupatabu nn xx ulitaka uende wewe, au mtoto akose shahada, , maana mjomba ni kama mama majina ya wazazi ndio hayo hayo sasa nini kifichwe hapo, ww mwenyewe usikute ata iyo shahada una wacha mtoto apate haki yake
 
Aliulizwa kama anakereka?Unayajua na ya wengine wangapi?Unataka kuanzisha nini kuelekea 2015,propaganda? Nawaza tu!
 

Mategemeo yako upate wachangiaji kwenye upuuzi kama huu? Wewe ndie mrs Mbowe? Katafute kazi ya kipato ufanye. Kwanza nawashangaa mods wa jukwaa hili ni kwa vipi uzi kama huu usipelekwe jukwaa la udaku mnaliweka huku. Hamkuelezwa hili ni jukwaa la great thinkers? Tafuta ofisi za kina Bisimbo upeleke kilio chako huko.
 
Mimi sijaona tatizo,huo ni uchochezi. Kuna ubaya gani kumtuma mjomba wa motto kushughulikia cheti cha mwanao? Ukienda RITA hawahitaji kujua ni nani anakuja kuchukua cheti. Cha msingi ni kuwa na vielelezo vinavyotakiwa. Ukiangalia kwa mapana Mbowe na Nkya wako busy na mambo ya siasa. Huo muda wa kufuatilia jambo dogo kama hilo litatoka wapi? Inaonekana Mtoa mada ha-delagate shughuli za nyumba kwake kwa walio karibu. Kama alikuwa anaficha usinzi asingeandika jina la baba,kwahiyo unachoandika unafanya kampeni ya kisiasa haina mashiko kwa watu walioenda shule
 
Kibaya zaidi wanaweka details za mtoto humu huu ni udhalilishaji na wanakiuka haki za watoto. Hivi details za mtoto wako na kadi zake za clinic zikiwekwa hapa wewe utafurahi? tuwaheshimu watoto, yule dada aliyewasema watoto wa Obama ali-resign do you know why?acheni cheap politics wasemeni wazazi wake siyo kuweka habari za huyu mtoto na onyesheni weledi.
 
Ukiwa na akili za CCM changanya na zako...
 
Mkuu kusikitika kuwa Mwenyekiti hakutumia kinga akiwa mchepukoni ni umbeya? ya kapuya na Komba mlishangilia ,Leo ya Mbowe mnalilia!

Fimbo zetu ni kwenye randuku la kura kama akili inafanya kazi umeona.
 
Yaani kuna baadhi ya threads ukizipitia unaweza kujihisi uko Facebook na wala sio JF.
Ova
 
Hahahaha, Mbowe dudu anapiga ila anaficha mtoto kwa jina la mwingine.
 
Alafu Mungu ndio awatumie hawa kuongoza watu labda shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…