Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

sasa wewe mtoa mada cha ajabu hapo kinachokupatabu nn xx ulitaka uende wewe, au mtoto akose shahada, , maana mjomba ni kama mama majina ya wazazi ndio hayo hayo sasa nini kifichwe hapo, ww mwenyewe usikute ata iyo shahada una wacha mtoto apate haki yake
 
Aliulizwa kama anakereka?Unayajua na ya wengine wangapi?Unataka kuanzisha nini kuelekea 2015,propaganda? Nawaza tu!
 
Chadema kimekuwa siku zote kikisema kuwa ni chama cha kutetetea wanyonge ambao hawana sauti na wanaonewa

Kuna mnyonge mmoja asiye na sauti anayeitwa Mrs MBOWE ambaye alifunga ndoa ya kanisani na Freeman Mbowe ambaye aliaapa mbele ya Mungu na wanadamu walikokuwepo Kanisani kuwa atakuwa na mke mmoja tu na hatajishughulisha na mwanake mwingine nje ya ndoa.

Joyce Mukya mbunge kampora mume wake na kuzaa na Mbowe mtoto.
Mama wa watu hana sauti ni mnyonge anahitaji kusaidiwa.
Chadema Msaidieni huyo mnyonge kama kweli mnasaidia wanyonge.

Akina Helen Kijo Bisimba pia kwa hili wako wapi mbona hawajatoa tamko? Au ni binadamu gani hao ambao akina Bisimba huwa wanawatetea kwenye kituo chao cha Haki za Binadamu?
Kanisa nalo vipi mbona kinywa akina Niwemugizi,Ngalekumtwa na akina Kakobe wako wapi kwenye hili?

Na akina Anael Nkya wa madawati ya jinsia wako wapi kusaidia huyu mama?
TAWLA nao mbona kimya hawajasikia,hawajaona au wanajikausha?
Huyu mama anahitaji asaidiwe iwe kisheria au vinginevyo ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia ya kuonea hasa wanawake hasa walioko kwenye ndoa halali kama huyo mama mbowe.

Mategemeo yako upate wachangiaji kwenye upuuzi kama huu? Wewe ndie mrs Mbowe? Katafute kazi ya kipato ufanye. Kwanza nawashangaa mods wa jukwaa hili ni kwa vipi uzi kama huu usipelekwe jukwaa la udaku mnaliweka huku. Hamkuelezwa hili ni jukwaa la great thinkers? Tafuta ofisi za kina Bisimbo upeleke kilio chako huko.
 
Mimi sijaona tatizo,huo ni uchochezi. Kuna ubaya gani kumtuma mjomba wa motto kushughulikia cheti cha mwanao? Ukienda RITA hawahitaji kujua ni nani anakuja kuchukua cheti. Cha msingi ni kuwa na vielelezo vinavyotakiwa. Ukiangalia kwa mapana Mbowe na Nkya wako busy na mambo ya siasa. Huo muda wa kufuatilia jambo dogo kama hilo litatoka wapi? Inaonekana Mtoa mada ha-delagate shughuli za nyumba kwake kwa walio karibu. Kama alikuwa anaficha usinzi asingeandika jina la baba,kwahiyo unachoandika unafanya kampeni ya kisiasa haina mashiko kwa watu walioenda shule
 
Kibaya zaidi wanaweka details za mtoto humu huu ni udhalilishaji na wanakiuka haki za watoto. Hivi details za mtoto wako na kadi zake za clinic zikiwekwa hapa wewe utafurahi? tuwaheshimu watoto, yule dada aliyewasema watoto wa Obama ali-resign do you know why?acheni cheap politics wasemeni wazazi wake siyo kuweka habari za huyu mtoto na onyesheni weledi.
 
Ukiwa na akili za CCM changanya na zako...
 
Mkuu kusikitika kuwa Mwenyekiti hakutumia kinga akiwa mchepukoni ni umbeya? ya kapuya na Komba mlishangilia ,Leo ya Mbowe mnalilia!

Fimbo zetu ni kwenye randuku la kura kama akili inafanya kazi umeona.
 
Hahahaha, Mbowe dudu anapiga ila anaficha mtoto kwa jina la mwingine.
 
Alafu Mungu ndio awatumie hawa kuongoza watu labda shetani
 
Back
Top Bottom