Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Katika kile kinachosemekana ni kuficha ukweli pengine kwa sababu ya nyadhifa zao ama kuhakikisha hakutokei matatizo ya kifamilia, Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi ya upinzani bungeni, Freeman Aikaeli Mbowe na Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo Joyce Mukya, wamelazimika kutumia Mjomba wa mtoto wao Cayla-Stacy aliyezaliwa 16 aprili, 2013 ili kufanikisha kupatikana kwa shahada ya kuzaliwa.

William Christopher Shechambo, mjomba wa Cayla-Stacy(kaka wa Joyce Mukya) ndiye aliyepewa jukumu la kuhakikisha mpwa wake anapata shahada ya kuzaliwa badala ya wazazi wa mtoto kama ambavyo imezoeleka.

Vifuatavyo ni viambatisho vya fomu ya RITA na kadi ya Kliniki ya Mtoto.
attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php


Ulitaka wewe ndo uzae na Mbowe (Ulitaka kupigwa Machine na Kamanda Mbowe) na Mtoto wenu uende wewe front kufuatilia hiyo birth certificate sio ?
 
Makubwa haya. Mbowe ana nyumba ndogo nyingi sana
Wewe ni wa kike au wa kiume?
Kama wa kike sishangai.

Ila kama wa kiume utanishangaza ni nitajiuliza maswali mengi inakuwaje umuonee gere mwanaume mwenziyo eti ana nyumba ndogo nyingi.
 
Ninyie mnaopoteza mda kujadili watu. Halafu tunasema vijana wanachangamoto ya ajira, kumbe tayari hii ni ajira kwenu
Yupo mdau amekuuliza kuwa ilikuwa vema kumjadili komba lakini siyo vema kumjadili mbowe?
 
Hivi ndivyo viwango vya mashambulizi ya kisiasa toka lumumba. Magamba mnatia huruma.
 
Wafiche nini na wambea kama nyie mpo! Nahisi kuna watu wangependa mbowe na dr. slaa wawaowe lakini wanakosa nafasi
 
Mbowe ni mzinzi sana, inakuwa anazaa zaa. Ovyo hivi?

Hajaanza yeye lakini,list ni ndefu sana,tukianza na baba nani hii............halafu yule anaefanana na wanyama wetu wa mwituni na yule mwingine aliefumaniwa wakati wa kampeni Igunga na yule uncle wetu mwingine alietishia kuingia msituni iwapo katiba mpya haitapita.
 
Usihofu ndugu nawe ukikubali kumzalia mtoto nipo tayari kuwa baba wa ubatizo,mlezi hata kuwa mjomba wa huyo mtoto ili mwisho wa siku tuje kuongoza dola..
 
Back
Top Bottom