Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Muende na nyie akawatie mimba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie mlipewa na nani mamlaka ya kuingilia maisha ya Komba? kwa hiyo unasema tusiwashauri watu kutumia kinga?
Mkuu weka picha yake!
haa haa kwa lipi?Hakika!
ni kweli, tuna double standards za ajabu...Lakini huoni kama viongozi wetu ndio wanareflect jamii ya watz ilivyo? Huoni kama watu wanamtetea lakini leo hii tukimpa uongozi akaunder perform tutaanza kupiga kelele hafanyi kazi vizuri wkt tulijua fika tabia zao chafu na tukazifumbia macho mpk ifike mahali jamii ibadilike itake viongozi ambao wana integrity nzuri ndio tutaona maendeleo vizuri otherwise kwa mtindo tunasafari ndefu sana ya kufikia maendeleo na haya maendeleo yanaanza na mimi na wewe kukataa ujinga na uchafu wa viongozi wetu
wewe ni nyumba ndogo ya mbowe au nyumba kubwa? Au wewe ndiye mama wa mtoto,haya twambie kwanini mnatumia mtu mwingine kupata cheti cha mtoto wenu.
haa haa unaona wivu?Mkuu, nasikia pia Mbowe kazaa na Esther Matiko!
Matokeo ya serikali za mitaa yaliwakimbiza Jukwaani...njia walioona inafaa kurudi jamvini ni kujipaka 'uchafu wa mtu anaye'hara' ' Ili waonekane ni vichaa hivyo tuamini kuwa hawana uwezo wa kujadili hoja makini zinazohusu matokeo hayo pamoja na suala la mamlaka ya uteuzi kumsifia jamaa aliyeliingizia taifa hasara ya mabilioni .What is the big deal here?!
Upo sawa ndugu ILA kwa upande wa pili hili jambo linaharibu sifa ya kiongozi. Kama ujuavyo sifa za kiongozi ni pamoja na uaminifu kwa familia yake,siyo mla rushwa,mchapa kazi nk. Kwa hili jambo ni doa kwa kamanda Mbowe,Kwamba tutasahau kipigo walichopata chama tawala kwenye serikali za mitaa ...pia tutasahau jinsi..mamlaka ya uteuzi inavyoonyesha watanzania kuwa yawezekana imeshiriki kwenye ukwaupuaji wa mkwanja wa escrow kwa kushindwa kumkamata na kumtia kizuizini mwanasheria aliyeshauri ukwapuaji huo ufanyike....na kwamba sasa wananchi wako tayari kwa lolote....kuamua juu ya hatima ya maisha yao na vizazi vijavyo.
Hamuwezi....Huu si upepo wa kupita tu...!
kama mkisema hivo kuna kazi, tuleteeni majina ya viongozi wote hapa ili watuchambue, maana kama jk uchafu wake wote unajulikana, yule mtoto wa nje kule sinza hivi anaitwa nani vile?Yanatuhusu sana, lazima tuwajue viongozi wetu walivyo wasaliti kuanzia kwenye familia hadi kwenye siasa
haa haa tezi dume ana mke kila mkoa, sio iringa, tanga, wala dodoma, watoto hawahesabiki kamwe. Kwa mara ya kwanza mzinzi kapangisha ma.gogôni.uzinifu wa Mbowe na Dr Slaa hadi kinyaa!
hayo ni maisha binafsi jambo la msingi ni uadilifu ktk kusimamia rasili mali za nchi yetu hii dumazwa
Mbona amezaa na wewe na Lizaboni lakini mke wake halalamiki Kama wewe nyumba ndogo?Kwann mbowe anazaa zaa hovyo hivi? Kwann hamuheshimu mke wake?