Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

...mjomba wa Cayla-Stacy(kaka wa Joyce Mukya) ndiye aliyepewa jukumu la kuhakikisha mpwa wake anapata shahada ya kuzaliwa badala ya wazazi wa mtoto kama ambavyo imezoeleka...
Hata mimi nilifuatilia cheti cha kuzaliwa cha mtoto wa dada yangu, wala sikupata shida yoyote, ili mradi maelezo na viambatanisho vyote vina taarifa sahihi, na nilikipata kwa muda mfupi tu. Sasa nimeshangaa mleta mada anavyosema kwamba wazazi wa mtoto ndio waliozoeleka kufuatilia vyeti vya watoto wao! Huenda mleta mada hajui taratibu nyingi tu za kufuatilia mambo mbalimbali, sas badala ya kuwa mtafiti, anakimbilia kuanzisha mada ya jambo la kawaida kabisa!
 
Lakini huoni kama viongozi wetu ndio wanareflect jamii ya watz ilivyo? Huoni kama watu wanamtetea lakini leo hii tukimpa uongozi akaunder perform tutaanza kupiga kelele hafanyi kazi vizuri wkt tulijua fika tabia zao chafu na tukazifumbia macho mpk ifike mahali jamii ibadilike itake viongozi ambao wana integrity nzuri ndio tutaona maendeleo vizuri otherwise kwa mtindo tunasafari ndefu sana ya kufikia maendeleo na haya maendeleo yanaanza na mimi na wewe kukataa ujinga na uchafu wa viongozi wetu

Ni wazi huyu Binti ubunge alipewa kama zawadi!
 
kwa sisi waafrika kuzaa ni qualification na sio disqualification ....sasa ulitaka azae na nani mama yako au dada yako ..?
Tuongeelee mambo mengine ya msingi kwa nchi !!

ila kuuza mechi nje ya ndoa hatari sana, i can not imagine...
 
Nyie Lumumba buku saba nyambafu kabisa. Nchi inaibiwa mnaleta upumbafu?! Sie tunalia kuchangishwa hela za maabara binti mnaleta u ngese hapa?

Mkuu kukumbusha watu kutumia kinga nalo ni jambo muhimu!
 
Bado hajazaa na wewe na Yule mtoto wa first house aliyepata division five.
Kaeni kwenye line.....vueni chup.i kabisa atawapitia muda sio mrefu.
mhh, ila huyu baba mzinzi jamani
 
Mbona mnaleta mambo ya kipuuzi hapa? Kwani siasa na zinaa vins muingiliano wa 1kwa1? Mbona hamuwasemi kina Komba, Prof Kapuyanga kina Sitta na wengineo..tena mtu kafanya mapenzi amepata na mtoto, kosa liko wapi?

Umesahau kuwa walisemwa humu? Sisi tunamshauri mwenyekiti kutumia kinga ili kujilinda asije kurudia kosa
 
Ni wazi huyu Binti ubunge alipewa kama zawadi!

kabisa hilo halina ubishi, hawa chadema wanadai kuna kufahamiana sana ccm, ila huko kwao ndio kuna uozo kabisa, mfano hat aTundu lisu ana dada yake anaitwa Christina Lisu Mughwai, ona sasa huko jinsi walivyojazana na kupena nafasi kindugu, hiki ndio chama chetu pendwa, kupeana madaraka kama pipi ndio wimbo wa siku
 
Nini uhusiano hapa na wizi wenu wa mabilioni ? hiyo si issue binafsi tunataka mabilioni yarudi na si porojo
 
Wewe ni nyumba ndogo ya mbowe au nyumba kubwa? Au wewe ndiye mama wa mtoto,haya twambie kwanini mnatumia mtu mwingine kupata cheti cha mtoto wenu.

Nenda kafungue jalada la madai
 
Umesahau kuwa walisemwa humu? Sisi tunamshauri mwenyekiti kutumia kinga ili kujilinda asije kurudia kosa

Unamshsuri ww km nani? Ww ni mke wake? Maana hata mdodo/kaka au dada yake hawana mandate ya kuingilia maisha na interest zake binafsi...
 
ila kuuza mechi nje ya ndoa hatari sana, i can not imagine...

sio haatari....kwetu hiyo ni ruksaaa.. mchagga akkizaa nje ukipeleka mashtaka kwenye familia ...wanakuangalia tu ...siumeona mwenyewe mama Mbowe anachekaa ...nashangaaa wapambe huku wanashadadia wakati yeye anaona poa tu
 
Mh Mbowe na Mzee wetu Mengi unapowaona maeneo tofauti unawaona kama watu serious na committed kwelikweli.

Kwenye maisha binafsi utawahurumia sana.
 
kabisa hilo halina ubishi, hawa chadema wanadai kuna kufahamiana sana ccm, ila huko kwao ndio kuna uozo kabisa, mfano hat aTundu lisu ana dada yake anaitwa Christina Lisu Mughwai, ona sasa huko jinsi walivyojazana na kupena nafasi kindugu, hiki ndio chama chetu pendwa, kupeana madaraka kama pipi ndio wimbo wa siku

Hii imezidi kudhihirisha kuwa ubunge viti maalum chadema una uzwa!
 
sio haatari....kwetu hiyo ni ruksaaa.. mchagga akkizaa nje ukipeleka mashtaka kwenye familia ...wanakuangalia tu ...siumeona mwenyewe mama Mbowe anachekaa ...nashangaaa wapambe huku wanashadadia wakati yeye anaona poa tu

ahaa kumbe kuna kale kautaratibu ka kuzaa nje ili kuepuka ile mila mbaya ya kuvunja chungu?? doh, basi kama kiongozi mkubwa kama huyu bado ana imani kama hizo nastaajabika kama hajastaarabika maana kwa nafasi yake tulitegemea awe ameshastaarabika na kujua kuwa unapofanya jambo kama hilo kina sisi tutalitafsiri vipi..
 
Naona buku 7 ya lumumba wamejazana sana kwenye thread hii, kulikoni ?

Mwandiko wa aliyejaza form ya kuomba Cheti cha kuzaliwa NDIO huohuo uliojaza Kadi ya kliniki ya mtoto (Angalia bukurasa ulioandikwa "KADI HII HAIUZWI"

Makoye ga mbiti gete.
 
Hii imezidi kudhihirisha kuwa ubunge viti maalum chadema una uzwa!

watanzania wasikubali kudanganywa na watu kama hawa, hii ni aibu, chadema sijui watatuambia nini, ila naona mabavicha wanamsifu mwenyekiti hapa kwamba kidume...
 
Wewe ni nyumba ndogo ya mbowe au nyumba kubwa? Au wewe ndiye mama wa mtoto,haya twambie kwanini mnatumia mtu mwingine kupata cheti cha mtoto wenu.

Wivu tu huna lolote sasa ulitaka uzae nae ww mlevi buluza?
 
Unamshsuri ww km nani? Ww ni mke wake? Maana hata mdodo/kaka au dada yake hawana mandate ya kuingilia maisha na interest zake binafsi...

Nyie mlipewa na nani mamlaka ya kuingilia maisha ya Komba? kwa hiyo unasema tusiwashauri watu kutumia kinga?
 
Back
Top Bottom