Ingawa siungi mkono kuzaa nje yandoa, lakini nadhani hizi ni siasa za CCM na CHADEMA. Jina la Baba na Mama wa mtoto linajieleza bila matatizo. Ila mtoa taarifa ndio mjomba, kama ni kweli, maana hiyo documeny ina maswali mengi tu ya kujiuliza. Swali ni kuhusu huo mnaoita uzinzi au forgery ambayo haipo kabisa maana majina ni ya wazazi na sio mjomba. Ebu mnisaidie kujua issue ni nini hasa?
Katika kile kinachosemekana ni kuficha ukweli pengine kwa sababu ya nyadhifa zao ama kuhakikisha hakutokei matatizo ya kifamilia, Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi ya upinzani bungeni, Freeman Aikaeli Mbowe na Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo Joyce Mukya, wamelazimika kutumia Mjomba wa mtoto wao Cayla-Stacy aliyezaliwa 16 aprili, 2013 ili kufanikisha kupatikana kwa shahada ya kuzaliwa.
William Christopher Shechambo, mjomba wa Cayla-Stacy(kaka wa Joyce Mukya) ndiye aliyepewa jukumu la kuhakikisha mpwa wake anapata shahada ya kuzaliwa badala ya wazazi wa mtoto kama ambavyo imezoeleka.
Vifuatavyo ni viambatisho vya fomu ya RITA na kadi ya Kliniki ya Mtoto.
![]()
![]()
![]()
![]()