Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Ingawa siungi mkono kuzaa nje yandoa, lakini nadhani hizi ni siasa za CCM na CHADEMA. Jina la Baba na Mama wa mtoto linajieleza bila matatizo. Ila mtoa taarifa ndio mjomba, kama ni kweli, maana hiyo documeny ina maswali mengi tu ya kujiuliza. Swali ni kuhusu huo mnaoita uzinzi au forgery ambayo haipo kabisa maana majina ni ya wazazi na sio mjomba. Ebu mnisaidie kujua issue ni nini hasa?


Katika kile kinachosemekana ni kuficha ukweli pengine kwa sababu ya nyadhifa zao ama kuhakikisha hakutokei matatizo ya kifamilia, Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi ya upinzani bungeni, Freeman Aikaeli Mbowe na Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo Joyce Mukya, wamelazimika kutumia Mjomba wa mtoto wao Cayla-Stacy aliyezaliwa 16 aprili, 2013 ili kufanikisha kupatikana kwa shahada ya kuzaliwa.

William Christopher Shechambo, mjomba wa Cayla-Stacy(kaka wa Joyce Mukya) ndiye aliyepewa jukumu la kuhakikisha mpwa wake anapata shahada ya kuzaliwa badala ya wazazi wa mtoto kama ambavyo imezoeleka.

Vifuatavyo ni viambatisho vya fomu ya RITA na kadi ya Kliniki ya Mtoto.
attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

 
Mbowe na Slaa wasipoacha uzinzi watakufa vibaya sana. Hawajali hata maradhi.
 
..... kwakua mbowe kesha reconcile na mke wake, HIZI ZINABAKI NGONJERA TU !!!
 
mbowe ni mzinzi sana, inakuwa anazaa zaa. Ovyo hivi?


kwa sisi waafrika kuzaa ni qualification na sio disqualification ....sasa ulitaka azae na nani mama yako au dada yako ..?
Tuongeelee mambo mengine ya msingi kwa nchi !!
 
Mbowe na Slaa wasipoacha uzinzi watakufa vibaya sana. Hawajali hata maradhi.
Mkuu, mwanaume mchapa kazi anatakiwa kuto....... sana ili akili iweze kufanya kazi vizuri. scientifically proven mkuu.
 
Mbona mnaleta mambo ya kipuuzi hapa? Kwani siasa na zinaa vins muingiliano wa 1kwa1? Mbona hamuwasemi kina Komba, Prof Kapuyanga kina Sitta na wengineo..tena mtu kafanya mapenzi amepata na mtoto, kosa liko wapi?
 
..... Kwakua mbowe kesha reconcile na mke wake, hizi zinabaki ngonjera tu !!!

waambie tena mkewe kwa raha zake ..kala denda ...ili wenye wivu mjinyonge ..

Na kwa taarifa tu kwa watu wanaotoka kilimanjaro huwa hawaachi mbegu nje .....na mke wa ndoa jukumu lake yeye ni kuwapokea watoto waliozaliwa na mumewe kwa amri ya ukooo
 
Watanzania bwana, wezi wa mali ya umma wanatetewa kwa udi na uvumba .................... halafu same people wanakuja kushabikia private matters!!
 
Mbowe na Slaa wasipoacha uzinzi watakufa vibaya sana. Hawajali hata maradhi.

na yule wenu mwenye watoto 21 mama 9 tofauti yeye ataitwaje?hivi wale mapacha bado wako dubai wanasoma au wamerudi?
 
Nyie Lumumba buku saba nyambafu kabisa. Nchi inaibiwa mnaleta upumbafu?! Sie tunalia kuchangishwa hela za maabara binti mnaleta u ngese hapa?
 
Tukubali tusikubali, hizi issue za upigaji ni mbaya... zinaharibu sana integrity ya mtu

TUnaturn blind eye, but deep down si kitu kizuri, halafu huyo dada hana mvuto kabisa sijui jamaa alitumia jicho gani kuangalia

Anyway, ngoja tuyaache yapite

Lakini huoni kama viongozi wetu ndio wanareflect jamii ya watz ilivyo? Huoni kama watu wanamtetea lakini leo hii tukimpa uongozi akaunder perform tutaanza kupiga kelele hafanyi kazi vizuri wkt tulijua fika tabia zao chafu na tukazifumbia macho mpk ifike mahali jamii ibadilike itake viongozi ambao wana integrity nzuri ndio tutaona maendeleo vizuri otherwise kwa mtindo tunasafari ndefu sana ya kufikia maendeleo na haya maendeleo yanaanza na mimi na wewe kukataa ujinga na uchafu wa viongozi wetu
 
Back
Top Bottom