KUKULU- KAKALA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 312
- 1,299
Za Ndani kabisa Freeman Mbowe na Lazaro.NYALANDU... ni miongoni mwa majina yanayotajwa kwenye kurithi nafasi iliyoachwa wazi..... TEETH wanamtaka mtu wao mwana mpotevu ( FAM) wakati CCM mtandao wanamtaka NYALANDU.... Shida ipo kwa Lameck hamtaki NYALANDU maana ni moja ya competitors wake kwenye Nafasi ya urais 2030.....
Here we go..... Muda wowote Ule FAM anaweza tangaza Kurudi CCM.
Here we go..... Muda wowote Ule FAM anaweza tangaza Kurudi CCM.