Tetesi: Freeman Mbowe na Lazaro.NYALANDU kuchukua nafasi ya Umakamu wa Rais

Tetesi: Freeman Mbowe na Lazaro.NYALANDU kuchukua nafasi ya Umakamu wa Rais

Za Ndani kabisa Freeman Mbowe na Lazaro.NYALANDU... ni miongoni mwa majina yanayotajwa kwenye kurithi nafasi iliyoachwa wazi..... TEETH wanamtaka mtu wao mwana mpotevu ( FAM) wakati CCM mtandao wanamtaka NYALANDU.... Shida ipo kwa Lameck hamtaki NYALANDU maana ni moja ya competitors wake kwenye Nafasi ya urais 2030.....

Here we go..... Muda wowote Ule FAM anaweza tangaza Kurudi CCM.
PALAMAGAMBA KABUDI NAYE YUMO
 
Back
Top Bottom