Freeman Mbowe na Tundu Lissu washiriki ibada ya Mazishi ya Askofu Kweka

Kuna watu wakifa kwa kweli unaona ile mantiki ya Mungu alimpenda zaidi. Maana mtu anapendwa sana na wanadamu wenzake, lakini gjafla hamnaye tena.

Baba wa huruma mtazame kwa jicho la huruma mtumishi wako huyo aliyeyatoa maisha yake kwaajili ya kukutumikia. Pale alipopungukiwa, aishuhudie huruma yako maana wewe ni Bwana wa msamaha.
 
Michango ni kwa ajili ya Mbowe na siyo wananchi wa hanang na ndio maana kuna picha ya Mbowe mwenyewe na namba ya simu aliyo sajili kwa ajili ya kupokelea michango yake.
Hakika wewe ni mfuasi mwaminifu wa ujinga uliyeamua kuuishi ujinga kwa moyo wako wote.

Basi upokee malipo ya ujinga wako sawasawa na ujinga wako.
 
Yawezekana wewe ni kibaka. Hivyo unaamini kuwa ninyi vibaka mpo wengi sana. Pole sana. Mara nyingi mtu akiwa na tabia fulani mbaya huwa sensitive sana kwenye hilo akidhania na wengine wapo kama yeye.

Eti kwa nini imewekwa picha ya Mbowe? Ulitaka waweke picha ya kwako? Wanaweka picha ya mtu anayeaminika ili watu wawe na amani na michango yao kuwa itafika kunakotakiwa.

Hata wakati wa tetemeko la arshi kule Kagera, ni mchango wa CHADEMA pekee ndio uliwafikia waathirika moja kwa moja. Wale wevi wa CCM wakaanza kulalamika kuwa CHADEMA wamefanya vibaya, wanatafuta umaarufu, na kwamba eti michamgo wangeikabidhi kwenye kamati.

Hata hii michango ya sasa, CHADEMA ikabidhi moja kwa moja kwa waathirika. Wasije wakakosea wakapeleka michango hiyo kwenye hizo kamati za maafa za CCM. CCM ni mcha hauchagui cha kutafuni, iwe ni kitambaa, karatasi au yasi, utatafuna tu!!
 
R.I.P bishop
 
Tangia lini Mbowe amekuwa mwaminifu kwenye hela? Kama ni mwaminifu embu niambie pesa za join the chain Zilipatikana kiasi gani? Zipo wapi?
 
Alaa gia imebadilishiwa hewani!
 

Wewe kweli akili yako iliishajifia. Haina kumbukumbu.

Mimi siyo mtu wa kaskazini, lakini naipenda CHADEMA kwa sababu naona wazi ni chama kilichosheheni watu wenye akili, wakweli na wasio wanafiki, kama ilivyo CCM.

Mchango ule wa CHADEMA kwa waliopatwa na tetemeko la ardhi ulifuata ukabila? Tangazo la CHADEMA la kutaka watu watoe michango kwaajili ya maafa ya Hanang, limelenga ukabila? Au ulitaka upewe wewe ndiyo ujue hakuna ukabila?

Nakumbuka wakati wa tetemeko la arshi, CHADEMA ndiyo taasisi pekee iliyowakabidhi michango waathirika moja kwa moja. Na Serikali ya CCM ikalalamika sana ikidai kuwa CHADEMA inafanya siasa, michango ilitakiwa ikabidhiwe kamati ya maafa. Kumbe walitaka kuitafuna, kama ilivyo kawaida ya CCM.
 
Usihangaike na Wajinga
 
Tangia lini Mbowe amekuwa mwaminifu kwenye hela? Kama ni mwaminifu embu niambie pesa za join the chain Zilipatikana kiasi gani? Zipo wapi?
Umewahi kusikia waliochanga wakilalamika kuwa hawajui zimetumikaje? Kama waliochanga hawajawahi kulalamika, wewe ambaye siyo mchangiaji, inakuhusu nini?

Yaani taarifa ya matumizi ya hizo pesa wakupe wewe ambaye huhusiki, waache kuwapa waliochangia?
 
Kumbe amesharudi kutoka kwao. Mbona kimya kimya, mbwembwe zote kushinei
 
Ungekuwa unahoji hivi hivi kwenye matumizi ya suluhu, mpango, bashite na majaliwa ungeliokoa Taifa!
 
Dah!

Mkuu 'Bams', hizi sala ni za kilokole?
Ni swali tu, hakuna zaidi ya hapo!

Walokole sijui huwa wanafundishwa wapi, maana sala zao wao ni za papo kwa papo (impromptu); hakuna cha "Baba yetu uliye..." au kitu kama hicho.

Mlokole akiamua kutunga sala, maneno yanamtoka mfululizo bila hata kusita; hakuna ku'recite'.

Nisilojua, ni kama ukimwomba arudie sala, atairudia maneno yale yale, au atatunga mengine!
 
CHADEMA mmeamua kuishi kinafiki tuu Sasa. Ulivyotaja majina kwenye heading, tofauti na ulivyoyapangilia kwenye maudhui. Unaridhisha pande zote mbili (mbowe na lissu) (lissu na mbowe). Poleni sana
 
Hongera kwao. Wamalize chap tunawasubiri Hanang. Wasisahau magodoro na blankets kwa ajili ya waathirika
Chadema haina budget ya magodoro na blankets bali wanachama wake kama Watanzania wengine kupitia kodi zao ilipatikana budget ya kupeleka kitengo cha Maafa chini ya waziri mkuu.
Na kwa vile matukio ya maafa kwa nchi hii ni nadra sana pesa zilizopo zinaweza kuhudumia tukio la Kateshi bila hata kuombaomba misaada kama blankets na magodoro labda Manpower katika uokoaji tuu.
Ila kama pesa zimeliwa (kama kawaida yao kula hadi rambirambi) tufahamishwe na walaji wawajibishwe.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…