CHADEMA mmeamua kuishi kinafiki tuu Sasa. Ulivyotaja majina kwenye heading, tofauti na ulivyoyapangilia kwenye maudhui. Unaridhisha pande zote mbili (mbowe na lissu) (lissu na mbowe). Poleni sana
Michango ni kwa ajili ya Mbowe na siyo wananchi wa hanang na ndio maana kuna picha ya Mbowe mwenyewe na namba ya simu aliyo sajili kwa ajili ya kupokelea michango yake.