Freeman Mbowe na Viongozi CHADEMA jiteteeni juu ya hoja hizi za kupotea kwa Ben Saanane

Hivi ni kwa nini kikosi cha Red Brigade cha Chadema, hakihusishwi na suala la kupotea Ben Saanane wakati imeelezwa kwenye Katiba ya Chadema kuwa ndicho kitahusika na usalama wa viongozi na Mali za Chadema?
 
Hivi ni kwa nini kikosi cha Red Brigade cha Chadema, hakihusishwi na suala la kupotea Ben Saanane wakati imeelezwa kwenye Katiba ya Chadema kuwa ndicho kitahusika na usalama wa viongozi na Mali za Chadema?
Watakuwa na wao wanahusika hebu angalia kwa makini hizi picha then utanipa majibu baadaye kwenye inbox
 
Kama mliweza kuperuzi kwamba UKAWA walikuwa na mitambo ya kuhakiki kura zao vipi inakuwaje na hili la Ben mnashindwa nini kubaini yaliyompata ama haki ni kwa maccm only.....demons....
 
Ninyi ndiyo watu mnaojifanya mna uchungu wa kupotea kwa Ben kinafiki, hapa tunazungumzia kupotea kwa mtu wewe unaleta ushabiki wako wa kivyama kama mtoto wa chekechea. Hii Tovuti sasa isiitwe The Home Great Thinkers maana ina vilaza wengi sana tukiendelea kuliita hili tovuti The Home Of Great Thinkers tunakosea heshima kina,John Locke,Thucydide,Aristotle, Moses Maimonides, Nelson Mandela, Plato, Bill Shakespeare, Galileo Galilei n.k
 
Lizaboni hiyo ndiyo site ya ujenzi wa ofisi mpya ya Taifa ya CHADEMA?
Hahahahahaaaaaaaaa! Habari yake na maeezo kamili nitawaletea kesho. Kuna mambo mazito huko. Mkae mkao wa kula. Bado naendelea kufuatilia kwa undani zaidi. Muwe na subira. Kesho kigongo kinatoka
 
Nahisi hili deal limeharibiwa na familia ya Ben, maana lilipangwa vizuri sana lilipuliwe wakati jamaa wako nje ya nchi halafu walizungumzie wakiwa ughaibuni ili serikali ilaumiwe katika ngazi ya kimataifa lakini wanafamilia hawakutonywa hivyo imebidi kina Mbowe wakae kimya. Unaonaje mkuu Lizaboni?
 
Hahahahahaaaaaaaaa! Habari yake na maeezo kamili nitawaletea kesho. Kuna mambo mazito huko. Mkae mkao wa kula. Bado naendelea kufuatilia kwa undani zaidi. Muwe na subira. Kesho kigongo kinatoka


Niite tafadhali kikiwa tayari...
 
Wanafichana wenyewe kwa figisu figisu zao halafu wanataka iwe habari ya mjini
Chacha Wangwe alivyojidai "kuchongoa mdomo" kuhusu utaratibu wa chama
Mawazo aliyekuwa mwenyekiti wa chama Geita alivyokula hela akaharibu utaratibu wa kampeni za mgombea urais na kuingia doa
 
Kumbe Tanzania Daima ni "gazeti letu"?!!!
 
Kuna mtu na kitu hakisemwi hapa, hata unashindwa kuamini ukweli uko wapi.
 
tumkamate!! kwani Ben amewahi kutufurahisha nini? kama panzi wamepotezana halafu eti kunguru akashtaki
 
mlikuwa hamjui eeh, mkiambiwa chadema wapiga dili, mnabisha
 
Tanzania Daima ni gazeti "lenu" UGT au la Chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…