Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nani aliongoza wizi wa kura 2015 Masaki ?Kinana, jokate na Makamba wamesema utakuwa Huru na Haki kwa kuwa wanajiamini
Je Tume ya Uchaguzi uko huru?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani aliongoza wizi wa kura 2015 Masaki ?Kinana, jokate na Makamba wamesema utakuwa Huru na Haki kwa kuwa wanajiamini
Je Tume ya Uchaguzi uko huru?
Achana na wizi tu, uchaguzi una mengiWananchi gani? Acheni wizi na uporaji wa kura wananchi wapate viongozi wenye uwezo
Yapi hayoAcha
Achana na wizi tu, uchaguzi una mengi
Cuf iliposusia Zanzibar ilipata nini, tiririka, Raila Odinga aliposusia Kenya alipata nini? Tiririka....Kama ndivyo walivyokubaliana chamani hakuna tatizo, lakini kwa tahadhari tu, isijekutokea baada ya matokeo ya 2024 na 2025 zikaanza lawama za kuibiwa kura, huo utakuwa usanii.
Binafsi nionavyo ubaya wa hii kauli ya Mbowe, ni kama vile wanacheza ngoma ya CCM either kwa kujua au kutokujua, hasa nikikumbuka Samia alivyowahi kusema kule ndani kwao hakukaliki...
Sasa kama Chadema wameamua kushiriki uchaguzi naona ni kama vile wamemua wenyewe kujipeleka kwenye mdomo wa mamba kwa tamaa za kupata majimbo, siamini hata kidogo kama wanafikiria kwenda ikulu.
CCM wanaweza kuchakachua matokeo makusudi wakijua lawama zitarudi kwa waliochakachuliwa, yes, kama tunazijua tabia zao miaka yote kwanini tukawaamini na kushiriki uchaguzi?
Kama Chadema wangeweka mkazo kwenye Katiba mpya na Tume Huru kwa namna tuliyoona kwenye yale maandamano, naamini wangefanikiwa kupata kimojawapo kama sio vyote.
Bahati mbaya maridhiano yakageuzwa utapeli na CCM wanayoiamini sasa kwa kutaka kushiriki uchaguzi bila tume huru.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Umetumia kigezo kipi kuja na hii statement? somo halijaeleweka kwa wananchi kwasababu ipi?..ukweli ni kwamba somo la tume huru ya uchaguzi na katiba mpya bado halijaeleweka vya kutosha kwa wananchi.
Katiba Mpya imeshapatikana? 😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😆😆😆😆😆Akihutubia kwenye mkutano wa BAWACHA, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe emetoa agizo kwa Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika kuhakikisha ngazi zote za chama nchi zima zinaandaa viongozi wa kugombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu mwaka 2025. Viongozi hawa wawe na sifa za kushinda uchaguzi.
"Niwaagize mama zangu, rudini kwenye majimbo yenu kakipangeni chama, kila kitongoji, kila kijiji, kila mtaa. Hakuna kitongoji ambacho kitapita bila kupingwa na CHADEMA katika uchaguzi ujao, hakuna"
Mbowe ameongeza kuwa viongozi wazembe ambao hawataweka watu wa kugombea nafasi za uongozi kwenye chaguzi zijazo watachukuliwa hatua.
Amesema macho yote ya watanzania yapo kwa CHADEMa hivyo ni lazima wasimamishe viongozi kwa kila ngazi.
"Naagiza, na siyo kwa BAWACHA peke yake, katibu mkuu tafadhari na mfumo mzima wa mabaraza yote ya chama, kila kiongozi ahakikishe kila nafasi inayogombewa katika serikali za mitaa na uchaguzi mkuu, lazima CHADEMA iweke mgombea, na siyo mgombea tu wa kujaza nafasi, mgombea wa ushindani wa kushinda."
Amewataka kwenda kusuka chama kwa nguvu ili waizike CCM kwenye chaguzi zijazo.
Wewe mjinga ndio unapangwa na ndio maana mnabuluzwa huko kwenye maandamano harafu hakuna Cha maana mnapata.Yaani uliamini kabisa Chadema watasusia Uchaguzi? 😂😂😂😂😂Hahahaha nilikuwa namuambia mtu mmoja jana, kuwa wanasiasa wanatupanga mpaka unakosa hamu nazo,
Mnapigania katiba mpya pamoja, mnasema bila katiba hakuna uchaguzi, ghafla kila kitu kinabadilika bila ushirikishaj 😂😂😂
Pigia Chadema mtashika Dola 🤣🤣🤣Hilo halina shida,.mimi siwezi pigia kura CCM hata nikiwa chizi, tatizo nani atalinda kura yangu
Mnaoneoana ni kama mademu msuojiamini.CCM walikuwa wanasubiri CHADEMA ijitoe wachekelee. Pia ACT walikuwa wanasubiria CHADEMA wajitoe ili wawe chama kikuu Cha upinzani. Naona wamepigwa chenga ya mawili.
Kwani Katiba Mpya ndio inaleta ugali? Yaani Katiba Mpya ya kutoa mwizi X na kumleta mwizi Y Ina faida gani Kwa Mwananchi?..hoja ya Katiba Mpya na Tume Huru haijapatiwa majibu.
..tujiulize kwanini serikali ya Samia na Ccm imegoma kuwapatia Watanzania tume huru na katiba mpya?
Hiyo Katiba Mpya ya kutoa mwizi X na kumleta mwizi Y umeitoa wapi?Kwani Katiba Mpya ndio inaleta ugali? Yaani Katiba Mpya ya kutoa mwizi X na kumleta mwizi Y Ina faida gani Kwa Mwananchi?
Ni wapi hapa Duniani Katiba Mpya imegawa pesa Kwa watu Hadi waipaparikie?
Kenya wapi Kuna Katiba Mpya haijawahi leta ugali Wala kudhibiti Ufisadi.Hiyo Katiba Mpya ya kutoa mwizi X na kumleta mwizi Y umeitoa wapi?
Umekariri ubovu wa hii Katiba tuliyonayo sasa unadhani na Katiba Mpya itakuwa na ubovu huu wa sasa.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Walidhani Tutawasusia Nyani Shamba la Mahindi😂😂😂Akihutubia kwenye mkutano wa BAWACHA, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe emetoa agizo kwa Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika kuhakikisha ngazi zote za chama nchi zima zinaandaa viongozi wa kugombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu mwaka 2025. Viongozi hawa wawe na sifa za kushinda uchaguzi.
"Niwaagize mama zangu, rudini kwenye majimbo yenu kakipangeni chama, kila kitongoji, kila kijiji, kila mtaa. Hakuna kitongoji ambacho kitapita bila kupingwa na CHADEMA katika uchaguzi ujao, hakuna"
Mbowe ameongeza kuwa viongozi wazembe ambao hawataweka watu wa kugombea nafasi za uongozi kwenye chaguzi zijazo watachukuliwa hatua.
Amesema macho yote ya watanzania yapo kwa CHADEMa hivyo ni lazima wasimamishe viongozi kwa kila ngazi.
"Naagiza, na siyo kwa BAWACHA peke yake, katibu mkuu tafadhari na mfumo mzima wa mabaraza yote ya chama, kila kiongozi ahakikishe kila nafasi inayogombewa katika serikali za mitaa na uchaguzi mkuu, lazima CHADEMA iweke mgombea, na siyo mgombea tu wa kujaza nafasi, mgombea wa ushindani wa kushinda."
Amewataka kwenda kusuka chama kwa nguvu ili waizike CCM kwenye chaguzi zijazo.
Unaweweseka.......We ndio una wasi wasi Katiba Mpya itakuondolea UgaliKenya wapi Kuna Katiba Mpya haijawahi leta ugali Wala kudhibiti Ufisadi.
Nkasisitiza Katiba Mpya ni Kwa Ajili ya mwizi X kutaka kumtoa mwizi Y ila Haina maana yeyote Kwa Wananchi.
Katiba iliyopendekezwa mliigeuzia jina mkaiita Katiba inayodekezwa !!! Mkawa mnataka ile rasimu ya maoni ya warioba ndio iwe katiba kamili hivi mlikuwa serious??? Kuleni chuma hicho hakuna cha katiba mpya 😃😃..Tume Huru ya uchaguzi ni kwa faida ya kila Mtanzania bila kujali vyama vyao.
..hebu fikiria tuwe na ligi kuu ya mpira wa miguu halafu timu moja kubwa, kwa mfano Simba, wawe wanapanga waamuzi, usajili wa wachezaji, na matokeo. ligi ya aina hiyo haitakuwa na mvuto hata kidogo.
..Waliokwamisha Katiba Mpya sio Chadema wala kundi la Ukawa. Mchakato wa Katiba Mpya uliendelea hata baada ya Chadema na Ukawa kususia. Katiba Mpya pendekezwa iliandikwa na wana-Ccm waliobaki ktk bunge maalum. Baada ya kukamilika kwa zoezi hilo, serikali ya Ccm haikuendelea na hatua iliyofuatia ambayo ilikuwa ni kuitisha kura ya maoni.
..Wanaolaumu kwamba Chadema walizuia upatikanaji wa Katiba Mpya wanajilazimisha upumbavu kwa kufumbia macho ukweli kwamba Mchakato ulikamilika kwa kuandikwa kwa Katiba Pendekezwa.