Freeman Mbowe ni bilionea pekee aliyebakia kwenye siasa za majukwaani. Je, atapigania Katiba Mpya hadi mwisho?

Wewe ni mgeni?

We jibu swali kwamba Mbowe ni Billionare

1. Aishi Hotel niya familia
2. Billcanas ni jengo la Serikali na hakuna tena biashara
3. Tanzania Daima - haitoshi kusema mtu ni Billionare

Sasa sema u Billionare wake uko wapi? Mbowe ni Mwanasiasa na Mwenyekiti wa Chama cha Siasa period
 
Ananawaongoza tu watz kufikia lengo lao bamba moja kwa sasa.
 
We jibu swali kwamba Mbowe ni Billionare

1. Aishi Hotel niya familia
2. Billcanas ni jengo la Serikali na hakuna tena biashara
3. Tanzania Daima - haitoshi kusema mtu ni Billionare

Sasa sema u Billionare wake uko wapi? Mbowe ni Mwanasiasa na Mwenyekiti wa Chama cha Siasa period
Wewe unazijua hizo tu?!
 
Wewe unazijua hizo tu?!

Thibitisha Ubillionare wa Mbowe hapa acha longo longo. Umewataja wafuatao na kweli ni Billionares

1. Rostam - Caspian Engineering google uone anafanya nini
2. Mo Dewji - MeTL google uone anafanya nini
3. Yusuph Manji - Quality Group -google uone anfanya nini.
4. Freeman Mbowe?????
 
Maumivu ya kukosa teuzi naona yamepoa sasa unaanza ule ujinga wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa anajiita johnthebaptist is so hopeless. Yaani ningekuwa mimi ndiye mwenye mamlaka za uteuzi watu wa aina yake nisingewapa hata nafasi ya kuwasikiliza. Wakati wa awamu ya tano walikuwa wakishangilia kila kitu foolishly. Leo hii wamepiga u-turn ya ajabu as if siyo wao waliokuwa wanaimba mapambio yale. Unfortunately wenye mamlaka za uteuzi nao akili zao ni kama hao akina johnthebaptist so hata hawashtuki kuwa kuna shida kwenye akili za hao watu
 
Vijana wa BAVICHA wanaweza kupewa mtaji wa biashara ya Baraza lao kweli na huyu mwamba?
 
We jibu swali kwamba Mbowe ni Billionare

1. Aishi Hotel niya familia
2. Billcanas ni jengo la Serikali na hakuna tena biashara
3. Tanzania Daima - haitoshi kusema mtu ni Billionare

Sasa sema u Billionare wake uko wapi? Mbowe ni Mwanasiasa na Mwenyekiti wa Chama cha Siasa period
Kama inakuuma ichomoe
 
Mabilionea wengine walishaachana na siasa za rejareja wakiwemo Rostam Aziz, Mo Dewji, Yusuf Manji na Mkono na sasa amebakia " MWAMBA" Freeman Mbowe wa Chadema.

Je, Mwamba atatuvusha kwenye katiba mpya au atatuacha njiani?

Nawasalimu kwa jina la JMT.
Kwani wewe unasemaje
 
We jibu swali kwamba Mbowe ni Billionare

1. Aishi Hotel niya familia
2. Billcanas ni jengo la Serikali na hakuna tena biashara
3. Tanzania Daima - haitoshi kusema mtu ni Billionare

Sasa sema u Billionare wake uko wapi? Mbowe ni Mwanasiasa na Mwenyekiti wa Chama cha Siasa period
Mbowe pesa aliyonayo ni ile ruzuku na michango ya chama aliyopiga panga vinginevyo hana traceable business......
 
Thibitisha Ubillionare wa Mbowe hapa acha longo longo. Umewataja wafuatao na kweli ni Billionares

1. Rostam - Caspian Engineering google uone anafanya nini
2. Mo Dewji - MeTL google uone anafanya nini
3. Yusuph Manji - Quality Group -google uone anfanya nini.
4. Freeman Mbowe?????
4. Freeman Mbowe - CHADEMA group google uone ruzuku alizokua anapokea zilikua zinafanya nini?
 
Back
Top Bottom