Freeman Mbowe ni bilionea pekee aliyebakia kwenye siasa za majukwaani. Je, atapigania Katiba Mpya hadi mwisho?

Freeman Mbowe ni bilionea pekee aliyebakia kwenye siasa za majukwaani. Je, atapigania Katiba Mpya hadi mwisho?

Cha ajabu wafuasi wake ni masikini wanashinda njaa
 
We jibu swali kwamba Mbowe ni Billionare

1. Aishi Hotel niya familia
2. Billcanas ni jengo la Serikali na hakuna tena biashara
3. Tanzania Daima - haitoshi kusema mtu ni Billionare

Sasa sema u Billionare wake uko wapi? Mbowe ni Mwanasiasa na Mwenyekiti wa Chama cha Siasa period
Wewe za kwako na za familia ziko wapi?
Mbona Mo ni za familia hamsemi.
 
Back
Top Bottom