johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa! Umeanza kuleta fyokofyoko or sorry chokochoko!Maumivu ya kukosa teuzi naona yamepoa sasa unaanza ule ujinga wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hujanijua hadi leo bwashee?Nitahakikisha nakujua by identity maana ujinga sasa umekuzidi.
Kwani hujanijua hadi leo bwashee?
Hahahaaaa. Muulize Mrangi ni jamaa yangu hapo Ufipa!
Wewe ni mgeni?Mbowe ni Billionare tangu lini? Kwani anafanya biashara gani?
Wewe ni mgeni?
Wewe unazijua hizo tu?!We jibu swali kwamba Mbowe ni Billionare
1. Aishi Hotel niya familia
2. Billcanas ni jengo la Serikali na hakuna tena biashara
3. Tanzania Daima - haitoshi kusema mtu ni Billionare
Sasa sema u Billionare wake uko wapi? Mbowe ni Mwanasiasa na Mwenyekiti wa Chama cha Siasa period
Wewe unazijua hizo tu?!
Huyu jamaa anajiita johnthebaptist is so hopeless. Yaani ningekuwa mimi ndiye mwenye mamlaka za uteuzi watu wa aina yake nisingewapa hata nafasi ya kuwasikiliza. Wakati wa awamu ya tano walikuwa wakishangilia kila kitu foolishly. Leo hii wamepiga u-turn ya ajabu as if siyo wao waliokuwa wanaimba mapambio yale. Unfortunately wenye mamlaka za uteuzi nao akili zao ni kama hao akina johnthebaptist so hata hawashtuki kuwa kuna shida kwenye akili za hao watuMaumivu ya kukosa teuzi naona yamepoa sasa unaanza ule ujinga wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama inakuuma ichomoeWe jibu swali kwamba Mbowe ni Billionare
1. Aishi Hotel niya familia
2. Billcanas ni jengo la Serikali na hakuna tena biashara
3. Tanzania Daima - haitoshi kusema mtu ni Billionare
Sasa sema u Billionare wake uko wapi? Mbowe ni Mwanasiasa na Mwenyekiti wa Chama cha Siasa period
Kwani wewe unasemajeMabilionea wengine walishaachana na siasa za rejareja wakiwemo Rostam Aziz, Mo Dewji, Yusuf Manji na Mkono na sasa amebakia " MWAMBA" Freeman Mbowe wa Chadema.
Je, Mwamba atatuvusha kwenye katiba mpya au atatuacha njiani?
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Kama inakuuma ichomoe
Mbowe pesa aliyonayo ni ile ruzuku na michango ya chama aliyopiga panga vinginevyo hana traceable business......We jibu swali kwamba Mbowe ni Billionare
1. Aishi Hotel niya familia
2. Billcanas ni jengo la Serikali na hakuna tena biashara
3. Tanzania Daima - haitoshi kusema mtu ni Billionare
Sasa sema u Billionare wake uko wapi? Mbowe ni Mwanasiasa na Mwenyekiti wa Chama cha Siasa period
4. Freeman Mbowe - CHADEMA group google uone ruzuku alizokua anapokea zilikua zinafanya nini?Thibitisha Ubillionare wa Mbowe hapa acha longo longo. Umewataja wafuatao na kweli ni Billionares
1. Rostam - Caspian Engineering google uone anafanya nini
2. Mo Dewji - MeTL google uone anafanya nini
3. Yusuph Manji - Quality Group -google uone anfanya nini.
4. Freeman Mbowe?????