Tatizo nililoligundua kwako ni uwezo mdogo wa akili ulionao na hilo naamini sio ugonjwa ni kipaji tu ulichojaaliwa.We mjinga kweli elewa kwamba Upinzani sio Chama wala Mbowe, umeenda shule? ndio CCM inawatuma mje kuleta utumbo humu kwamba ili mabdikiko yatokee Mbowe aondoke, hawawashauri muanzishe chama kipya?
Kwa hio ili VAT ishuke ni lazima CDM ireact kwa sababu yenyewe kama chama ndio inalipa VAT? Hizi akili mnazitoa wapi? na ndio hizi pia unazitumia kuvukia Barabara au kuna akili zingine.
Nakusisitiza tena jifunze kujadili hoja katika mada na kuzijibu hiyo ndio njia nzuri zaidi yakukuza akili yako na kuondoa iko kipaji chako cha ujinga.
Hilo lakuanzisha chama kingine ni hoja nyingine ambayo ungepaswa kuianzishia mada ili wadau wajadili.
Pia ondoa ujinga akilini kwako kuwa sio kila anaetaka Mbowe akae pembeni ni mtu wa CCM wengine ni wanachama na wapenzi wa CDM haswaa.
Jifunze kuficha upumbavu mbele ya hadhira ili ujifunze kwa wenzio.