Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
😏😏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo tukuamini wewe na hiyo kafara unayoizungumza?Hapana sio kuvuta bangi ana point. Mh. Mbowe anasema kwa mfano eti CUF ilishakuwa na migogoro sasa mbona hizo tofauti za CUF ni za zamani sana labda huyo wa CUF ametolewa kafara tu kusudio ilikuwa ni mbatia tu.
Kwa akili zako fupi, unajiona umetoa point ?!. Elimu ya mashaka na propaganda uliyomezeshwa ni mzigo kwako .
Udhaifu unaouona ktk vyama vya upinzani , ni mkakati maalumu uliotengenezwa na watawala . Katiba yetu mama ni mbovu . Hivyo katiba ya vyama haziwezi kuwa nzuri. Kwa sababu katiba ya nchi imeacha mwanya huo makusudi.
Vyama vyote ikiwemo Ccm havina utaratibu mzuri wa kupata viongozi. Na kama unabisha jaribu kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti ccm uone.
Odhis *
Mbowe hana ajualo but hamchoki kumuwinda kwa risasi, sasa kwa uelewa huo utajadiliana na nani akuelewe?!Ni vigumu kujadiliana na watu wa aina ya wafuasi wa Mbowe. Uchaguzi wa 2015 Mbowe mwenyewe alijua hawawezi kushinda ila alikuwa akitengeneza pesa. Ajabu wafuasi walielewa watashinda tu! Wanamuona kama mtu mwenye maono, lakini ukweli ni kwamba ni mtu asiyekuwa na ABC za dunia ya siasa. Kuna wakati niliwahi kuandika juu ya mazoea. Kazi unayoanza utotoni au chakula unachokula tangu utotoni ni vigumu ukubwani ukiache.
Mbowe tangu ujanani na hadi uzeeni aliendesha Casino. Ndani tulishuhudia kila aina ya uchafu na vituko. Leo hii anawezaje kuendesha chama kwa misingi ya demokrasia? Ndani ya Casino alilindwa na baunsa, siyo sheria! Unadhani ataheshimu mtu ambaye anampinga. Siamini kama anaelewa anakoelekea na huenda ukimuuliza atasema anajenga chama.
Mku soma gazeti la Mwananchi ya leo uone sababu alizotoa Mbowe
Hope shida yenyewe katiba haijaweka ukomo wa kugombea uwenyekitiMbowe hana ajualo but hamchoki kumuwinda kwa risasi, sasa kwa uelewa huo utajadiliana na nani akuelewe?!
Umejaza pumba za kutosha, unadhani Mbowe uenyekiti wa CDM amejipa mwenyewe, kiazi kweli!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata DR, bila msaada wa kumpa hii kazi angechoka vibaya mno... aliyetoka CDM na bado anadunda ni Zitto sababu kichwani ana uwezo na si muoga muoga - hawa wengine hawana uwezo wa kusimama wenyewe wengi wanajisalimisha Lumumba ili wapate ugali.Mwigamba , Nilimuona Magomeni kachoka sana ...Dk Mkumbo aliwaingiza chaka ....sana .
Nimegundua chadema aiwez kufifia hata iweje.
shtSent using Jamii Forums mobile appYaani ukitofautiana kidogo tu na Mbowe uje nje. Haya yametokea baada ya kuwaengua wabunge wote wa CUF na James Mbatia katika baraza la mawaziri vivuli bungeni yeye kama mnadhimu mkuu wa kambi rasimi ya upinzani bungeni. Hili limekuja kutokana na kutofautiana kisiasa katika vyama hivi, wakati wote ni wapinzani na ni wabunge na ni watanzania.
Tofauti kabisa na Dr. Magufuli katika chama chake, yeye ni tofauti hata watu waliokuwa wanampinga na wanamtukana mitusi amewaweka kumsaidia hili kujenga nchi sasa huyu dicteta Freeman kama angechukua nchi na tabia yeke ya visasi siingekuwa balaa na wapinzani wake wangetamani dunia ipasuke waingie, huyu jamaa licha ya kuwa mwenyekiti wa maisha pia ni mkabila.
Zito alipishana nae kisiasa alifukuzwa kama mwizi katika chama na mchango wake wote ulisaaulika kabisa, Kitila Mkumbo walipishana naye baadaye alikimbilia CCM kwa usalama wake na sasa anajenga nchi. Fredrick Sumaye alitofautiana na Mboye yeye yaliyomkuta kila mtu aliona yaani Mh. Sumaye macho yalimtoka kama fundi saa. Kuna mtu alikuwa anaitwa Chacha Wangwe huyu alitofautiana na dicteta Mboe baadae aliuwawa katika kifo cha kutatanisha.
Tunamshukuru Mungu kwa kulipenda taifa hili la Tanzania kwa kuendelea kuiruhusu CCM itawale hadi hapo kitakapotokea chama ambacho mwenyekiti wake si mwenyekiti wa maisha kama Freeman Mbowe, kwani ni hatari kwa taifa kuwa na mwenyekiti anaemiliki chama yaani chama chake hatari sana. Nikweli watu wengi wanaupenda upinzani lakini hawajapata kiongozi mzuri wa kuwafikisha watakako kufika.
Ikumbukwe kuwa sababu kubwa ya kuletwa na kulazimiswa kuingia katika mfumo wa vyama vingi ni kubadilishana vijiti katika uongozi yaani democrasia. Sasa angalia kwa dicteta Freemani Mboe yeye sasa anakariabia miaka 30 sasa katika kiti. Je, ipi maana ya mfumo wa vyama vingi ambapo yeye amekuja kuleta demaocrasia wakati ni dicteta hata Nkuruzinza amejirekebisha. Na ukitaka kuona balaa jifanye unautaka uwenyekiti wa Chadema ndiyo utauona mziki wake utaitwa majina yote mabaya hili upigwe na utaweza kuijua vizuri Redbregedia Nyekundu.
Mshaurini jamani huyo jamaa abadilike kutofautiana kisiasa si uadui awarudishe wabunge wa CUF na Mbatia hili kujenga upinzani imara, huo utakuwa ukomavu wa kisiasa katika kujenga upinzani imara na Ukawa kuwa imara hili wachukue siku moja.
Hivi membe alifukuzwa kwa sababu gani?Yaani ukitofautiana kidogo tu na Mbowe uje nje. Haya yametokea baada ya kuwaengua wabunge wote wa CUF na James Mbatia katika baraza la mawaziri vivuli bungeni yeye kama mnadhimu mkuu wa kambi rasimi ya upinzani bungeni. Hili limekuja kutokana na kutofautiana kisiasa katika vyama hivi, wakati wote ni wapinzani na ni wabunge na ni watanzania.
Tofauti kabisa na Dr. Magufuli katika chama chake, yeye ni tofauti hata watu waliokuwa wanampinga na wanamtukana mitusi amewaweka kumsaidia hili kujenga nchi sasa huyu dicteta Freeman kama angechukua nchi na tabia yeke ya visasi siingekuwa balaa na wapinzani wake wangetamani dunia ipasuke waingie, huyu jamaa licha ya kuwa mwenyekiti wa maisha pia ni mkabila.
Zito alipishana nae kisiasa alifukuzwa kama mwizi katika chama na mchango wake wote ulisaaulika kabisa, Kitila Mkumbo walipishana naye baadaye alikimbilia CCM kwa usalama wake na sasa anajenga nchi. Fredrick Sumaye alitofautiana na Mboye yeye yaliyomkuta kila mtu aliona yaani Mh. Sumaye macho yalimtoka kama fundi saa. Kuna mtu alikuwa anaitwa Chacha Wangwe huyu alitofautiana na dicteta Mboe baadae aliuwawa katika kifo cha kutatanisha.
Tunamshukuru Mungu kwa kulipenda taifa hili la Tanzania kwa kuendelea kuiruhusu CCM itawale hadi hapo kitakapotokea chama ambacho mwenyekiti wake si mwenyekiti wa maisha kama Freeman Mbowe, kwani ni hatari kwa taifa kuwa na mwenyekiti anaemiliki chama yaani chama chake hatari sana. Nikweli watu wengi wanaupenda upinzani lakini hawajapata kiongozi mzuri wa kuwafikisha watakako kufika.
Ikumbukwe kuwa sababu kubwa ya kuletwa na kulazimiswa kuingia katika mfumo wa vyama vingi ni kubadilishana vijiti katika uongozi yaani democrasia. Sasa angalia kwa dicteta Freemani Mboe yeye sasa anakariabia miaka 30 sasa katika kiti. Je, ipi maana ya mfumo wa vyama vingi ambapo yeye amekuja kuleta demaocrasia wakati ni dicteta hata Nkuruzinza amejirekebisha. Na ukitaka kuona balaa jifanye unautaka uwenyekiti wa Chadema ndiyo utauona mziki wake utaitwa majina yote mabaya hili upigwe na utaweza kuijua vizuri Redbregedia Nyekundu.
Mshaurini jamani huyo jamaa abadilike kutofautiana kisiasa si uadui awarudishe wabunge wa CUF na Mbatia hili kujenga upinzani imara, huo utakuwa ukomavu wa kisiasa katika kujenga upinzani imara na Ukawa kuwa imara hili wachukue siku moja.
Hivi hata mwakani atakuwa tena ndo mku wa kambi ya upinzani? Nafikiri hicho cheo amekichokaNawashauri watu muwe mnakubari maaumizi ya viongozi wenu ...hata biblia inasema tuwaaeshimu wenye mamlaka Mh Mbowe na Mh Magufuli wote niviongozi Imara ....kwaiyo maamuzi ya Mh Mbowe kuwanyima tonge Watesi wake wala ajafanya vibaya ...ndo demokrasia yenyewe unatoa uchafu ndani ya nyumba.
Mpinzani gani ni waziri ktk Serikali iliyopo madarakani? Kama yupo mtaje na kama hayupo kwanini,Mbatia amejiengua Ukawa na Cuf kitu ambacho kilikuwa kinawaunganisha sasa atakuwaje waziri kivuli,Yaani ukitofautiana kidogo tu na Mbowe uje nje. Haya yametokea baada ya kuwaengua wabunge wote wa CUF na James Mbatia katika baraza la mawaziri vivuli bungeni yeye kama mnadhimu mkuu wa kambi rasimi ya upinzani bungeni. Hili limekuja kutokana na kutofautiana kisiasa katika vyama hivi, wakati wote ni wapinzani na ni wabunge na ni watanzania.
Tofauti kabisa na Dr. Magufuli katika chama chake, yeye ni tofauti hata watu waliokuwa wanampinga na wanamtukana mitusi amewaweka kumsaidia hili kujenga nchi sasa huyu dicteta Freeman kama angechukua nchi na tabia yeke ya visasi siingekuwa balaa na wapinzani wake wangetamani dunia ipasuke waingie, huyu jamaa licha ya kuwa mwenyekiti wa maisha pia ni mkabila.
Zito alipishana nae kisiasa alifukuzwa kama mwizi katika chama na mchango wake wote ulisaaulika kabisa, Kitila Mkumbo walipishana naye baadaye alikimbilia CCM kwa usalama wake na sasa anajenga nchi. Fredrick Sumaye alitofautiana na Mboye yeye yaliyomkuta kila mtu aliona yaani Mh. Sumaye macho yalimtoka kama fundi saa. Kuna mtu alikuwa anaitwa Chacha Wangwe huyu alitofautiana na dicteta Mboe baadae aliuwawa katika kifo cha kutatanisha.
Tunamshukuru Mungu kwa kulipenda taifa hili la Tanzania kwa kuendelea kuiruhusu CCM itawale hadi hapo kitakapotokea chama ambacho mwenyekiti wake si mwenyekiti wa maisha kama Freeman Mbowe, kwani ni hatari kwa taifa kuwa na mwenyekiti anaemiliki chama yaani chama chake hatari sana. Nikweli watu wengi wanaupenda upinzani lakini hawajapata kiongozi mzuri wa kuwafikisha watakako kufika.
Ikumbukwe kuwa sababu kubwa ya kuletwa na kulazimiswa kuingia katika mfumo wa vyama vingi ni kubadilishana vijiti katika uongozi yaani democrasia. Sasa angalia kwa dicteta Freemani Mboe yeye sasa anakariabia miaka 30 sasa katika kiti. Je, ipi maana ya mfumo wa vyama vingi ambapo yeye amekuja kuleta demaocrasia wakati ni dicteta hata Nkuruzinza amejirekebisha. Na ukitaka kuona balaa jifanye unautaka uwenyekiti wa Chadema ndiyo utauona mziki wake utaitwa majina yote mabaya hili upigwe na utaweza kuijua vizuri Redbregedia Nyekundu.
Mshaurini jamani huyo jamaa abadilike kutofautiana kisiasa si uadui awarudishe wabunge wa CUF na Mbatia hili kujenga upinzani imara, huo utakuwa ukomavu wa kisiasa katika kujenga upinzani imara na Ukawa kuwa imara hili wachukue siku moja.
Mbona CCM inawaondoa kwa Visa Mameya wa Chadema kwanini wasisubiri wamalize muda wao uliobaki kidogo? Mkuki kwa nguruwe[emoji23][emoji23][emoji23]Lakini kwa kutumia busara-"Prudence" Mh. Mbowe angewaacha wamalizie muda wao wa uwaziri kivuri. Angejua kwamba baada tu ya kumaliza bajeti june 2020 ni kama bunge linavunjwa. Kwanini sasa amekosa subira kwa mambo madogo kama haya.
Kwanza haitakiwi kuonyesha hasira hata kama Mbowe ametofautiana nao hawa Mbatia kwa kwenda kwao ikulu juzi. Mbowe mbona yeye elienda Mwanza siku ile akaonana na rais na akapewa nafasi azungumze na wananchi na wenzake wote wapinzani hawakwenda.
Sasa hao aliowachagua watafanya kazi kwa miezi mingapi? labda 3. Uongozi unahitaji hekima sana na subira.