Freeman Mbowe ni zaidi ya Dikteta

Hapana sio kuvuta bangi ana point. Mh. Mbowe anasema kwa mfano eti CUF ilishakuwa na migogoro sasa mbona hizo tofauti za CUF ni za zamani sana labda huyo wa CUF ametolewa kafara tu kusudio ilikuwa ni mbatia tu.
Kwahiyo tukuamini wewe na hiyo kafara unayoizungumza?
 
Kwa hiyo unasimamia kipi mkuu!! kwamba Kwa vile katiba ya CCM ama ya Chadema ni mbovu, basi viongozi wake wawe ni madcteta siyo, Udicteta Kwa namna yoyote Ile haukubaliki, endeleeni kutetea majitu yasiyo na Hekima na huruma,yapo tu ili kulinda maslahi binafs, haayajali wengine, hayo si ya kuyatetea hata kidogo


 
Huu ndio utopolo sasa, kama ametifautiana nao kisiasa wanakuwaje kwenye baraza lake la mawaziri? Mbona JPM hawajawaweka wapinzani kwenye baraza lake la mawaziri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo, Zitto aliingizwa mkenge na Kitila; akamdanganya wakaandika waraka wa kutaka kukihaini chama, yakamkuta yaliyomkuta - Kitila huyoo akamaliza kazi yake kwa sasa anakula bata's....na urafiki kati yao ukaishia hapo hapo.

Haya sema mwingine ? Mwigamba? yule naye yaliyomkuta ni mengi...yeye ndiye alikuwa mwandishi wa Waraka huo yaani editor.

Sema mwingine tena, nani? hawa madiwani wanaokimbia kimbia kama wauza gongo - hawa tuwasamehewe bure - ni njaa tu.
 
Mbowe hana ajualo but hamchoki kumuwinda kwa risasi, sasa kwa uelewa huo utajadiliana na nani akuelewe?!

Umejaza pumba za kutosha, unadhani Mbowe uenyekiti wa CDM amejipa mwenyewe, kiazi kweli!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe hana ajualo but hamchoki kumuwinda kwa risasi, sasa kwa uelewa huo utajadiliana na nani akuelewe?!

Umejaza pumba za kutosha, unadhani Mbowe uenyekiti wa CDM amejipa mwenyewe, kiazi kweli!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hope shida yenyewe katiba haijaweka ukomo wa kugombea uwenyekiti
 
Mwigamba , Nilimuona Magomeni kachoka sana ...Dk Mkumbo aliwaingiza chaka ....sana .

Nimegundua chadema aiwez kufifia hata iweje.
Hata DR, bila msaada wa kumpa hii kazi angechoka vibaya mno... aliyetoka CDM na bado anadunda ni Zitto sababu kichwani ana uwezo na si muoga muoga - hawa wengine hawana uwezo wa kusimama wenyewe wengi wanajisalimisha Lumumba ili wapate ugali.
 
shtSent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi membe alifukuzwa kwa sababu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kati ya jiwe anaye 'warestisha ini pisi' na huyu anye waengua kwenye baraza lake nani dictator?
 
Hivi hata mwakani atakuwa tena ndo mku wa kambi ya upinzani? Nafikiri hicho cheo amekichoka
 
Mpinzani gani ni waziri ktk Serikali iliyopo madarakani? Kama yupo mtaje na kama hayupo kwanini,Mbatia amejiengua Ukawa na Cuf kitu ambacho kilikuwa kinawaunganisha sasa atakuwaje waziri kivuli,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona CCM inawaondoa kwa Visa Mameya wa Chadema kwanini wasisubiri wamalize muda wao uliobaki kidogo? Mkuki kwa nguruwe[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…