Freeman Mbowe ni zaidi ya Dikteta

Mbowe hana ajualo but hamchoki kumuwinda kwa risasi, sasa kwa uelewa huo utajadiliana na nani akuelewe?!

Umejaza pumba za kutosha, unadhani Mbowe uenyekiti wa CDM amejipa mwenyewe, kiazi kweli!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wajinga ni wachache? Ni wengi na wana haki ya kumchagua mwenzao.
Vipi mbona katibu mkuu mpya hasikiki?
 
Magufuli aliwafanya Nini hawa:-
1 Nape
2. Makamba
3. Stefen Kebwe
4. Rajab Rutengwe
5. Mecky Sadick
6. Halima Dendegu
7. Amos Makala
8.
9.
10.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muulize membe,msambatavangu na aliyewahi kuwa mwkt wa dsm,shy na mara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ni sawa na yule aliyesema ana maadui zake 11 akiingia ikulu watafute pa kukimbilia.
 
CCM Ina miaka zaidi ya 50 Ila Ina wenyeviti watano tu, CHADEMA Ina miaka ishirini na kitu imeshapata wenyeviti wanagapi sasa au sijui unaongea nini.
 
 
Dikteta wa tz alikufa hivi majuzi na sasa waoga wa demokrasia wanahofu kubwa wa kupoteza maslahi yao.
 
Halafu vyama vya siasa vya nchi hii ndio vinaua dhana ya demokrasia. Halafu unashangaa hawa viongozi wa maisha wa vyama wanakua na ujasiri wa kuhoji kwa nini CCM inang'ang'ania madarakani.

Mbowe Chairman miaka 17, Lipumba 26, Zitto 7, Mbatia 25, Mrema over 20 years.

Vyama vya siasa vionyeshe demokrasia ya kweli kama kweli wanataka demokrasia nchini.
 
Na bado CCM hawataki mgombea binafsi!
 
Hivi maana ya dikteta ni nini?? Vladmir Putin sisikii mkimuita dikteta, yule mama wa Ujeremani aliyebwaga manyanga kakaa miaka kibao madarakani sijawahi kusikia mnamwita dikteta.

Kwani sifa ya dikteta ni kukaa muda mrefu madarakani?? Nafikiri kuna mahali mnapoteza point juu ya maana ya dikteta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…