Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda Wake, atazungumza na Dunia kupitia Waandishi wa Habari muda wowote kuanzia sasa.
Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi
====================================================
Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi
====================================================
- Akiwa anazungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake, Freeman Mbowe amesema kuwa anahitaji muda zaidi mpaka siku ya Jumamosi.
- Mbowe alidokeza kuwa ataongea na wanahabari kuhusu uamuzi kuanzia saa 5 asubuhi