Pre GE2025 Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi

Pre GE2025 Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huu mtanange si mchezo
Utakuwa Acha wazee wa nutro tuone game ikatavyopigwa

Ova
kuna mgombea uenyekiti wa chadema hatapata kura hata moja kutoka kanda ya Zanzibar,

unamjua nini gentleman?🐒
 
MWENZIO KAVAMIWA NYUMBANI KWAKE NA WATU WANAMTAKA AKACHUKUE FOMU AGOMBEE WEWE UNATUAMBIA ATAONGEA NINI YAANI MLIJIPANGA NA MBOWE WAKO MKAITA BODABODA ILI MJE MSEME WAMEVAMIA KUAMWAMBIA AKACHUKUE FOMUMKAWAJAZIA NA AMFUTA YAANI MNATIA AIBU SASAHIVI NA MBOWE WAKO HATARI
 
Wakuu,

Baada ya baadhi ya wanachama kumvamia nyumbani kwake ili kumlazimisha kwenda kuchukua fomu, Mbowe akiwa anazungumza kwenye mkutano huo amesema kuwa anahitaji saa 48 ili afanye uamuzi iwapo atagombea au la.

Mbowe amesema kuwa siku ya Jumamosi muda wa saa 5 atatoa tamko rasmi iwapo atagombea au la


 
Tunaposema Mbowe hawezi kupambana na CCM kuna watu huwa hawaelewi, ni Jambo gani haswa zito linalomkosesha kujiamini na kufanya maamuzi ?
 
Back
Top Bottom