Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tumekua kitako tunasubiri kauli ya mwenyekiti wetu mpendwaKuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda Wake, atazungumza na Dunia kupitia Waandishi wa Habari muda wowote kuanzia sasa.
Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi
Chadema ni Chama kidogo 🤣Mbona hekaheka nyingi.
Mungu baba Ibariki CHADEMAKuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda Wake, atazungumza na Dunia kupitia Waandishi wa Habari muda wowote kuanzia sasa.
Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi
Usiondoke JFHagombei au anaenda kuchukua fomu?
sasa utageuka kuwa chawa wa lissu? mana ndiyo mbowe anaondoka hivyo mtafute kazi za kufanyaKuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda Wake, atazungumza na Dunia kupitia Waandishi wa Habari muda wowote kuanzia sasa.
Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi
Naona umeamia Mazima ChademaChadema ni Chama kidogo 🤣
Nilishiriki kuiasisi kama taasisi 😃Naona umeamia Mazima Chadema
Inategemea Mzee Mtei anatakaje 🐼Mhimu asigombee watakigawa chama atumie busara
🤣🤣🤣🤣Nilishiriki kuiasisi kama taasisi 😃
Hayasasa utageuka kuwa chawa wa lissu? mana ndiyo mbowe anaondoka hivyo mtafute kazi za kufanya
Busara tu sio kusalimu amriItakuwa amesalimu amri ya Tundu Lissu ya kung'atuka na kumwachia kijiti Lissu