matusi kwangu ndio mji mkuu........ leo mpaka nimepewa onyo na moderators.....jaribu.............nakuweka kwenye list ya who to block.Poa mkuu maana ilibaki kidogo nikulambe tusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
matusi kwangu ndio mji mkuu........ leo mpaka nimepewa onyo na moderators.....jaribu.............nakuweka kwenye list ya who to block.Poa mkuu maana ilibaki kidogo nikulambe tusi
Na Mbowe piaMungu baba Ibariki CHADEMA
akija Mbowe atawatuliza, kama alivyotoa busara zake leo kuwa sisi ni wamoja, tuache matusi, tusameheane etc etc ..... huyu mwingine chadema itapasuka kabisa kabisa maana hana Busara wala hekima. Anaropoka kama kichaa and surely he needs mental checkup!Ila baada ya huu uchaguzi sidhani kama CHADEMA watakaa sawa..Machawa yataparuana sana,minyukano itakua mikali mno.
Yaani nchi hii ngumu sana wamevamia kutafuta nini.Wakuu,
Baada ya baadhi ya wanachama kumvamia nyumbani kwake ili kumlazimisha kwenda kuchukua fomu, Mbowe akiwa anazungumza kwenye mkutano huo amesema kuwa anahitaji saa 48 ili afanye uamuzi iwapo atagombea au la.
Mbowe amesema kuwa siku ya Jumamosi muda wa saa 5 atatoa tamko rasmi iwapo atagombea au la
View attachment 3179605
Miaka yote 20 kaacha nn?Mbowe atagombea na kushida Tena.
Haahaa lini umeongea na wazanzibar mkuu?kuna mgombea uenyekiti wa chadema hatapata kura hata moja kutoka kanda ya Zanzibar,
unamjua nini gentleman?🐒
Haahaa, bon yai yeye anawaza uchawa tuMbowe aweke kura ya maoni aone matokeo. Akigombea anakiua chama. Hili huwezi kuwaona Boni Yai na Ntobi wakiliona. Boni yai ana mwili kama Simtank akili yote imemezwa.
Kwa maoni yangu hakuna haha ya mbowe kuchukua fomu, vinginevyo anataka tu kukivuruga chama chakeHuyu mzee akichukua fomu ntaamini lissu hana haja na uenyekiti ila kuna kitu anataka tukitambue🤔
Agombee tu akitaka, ila uchaguzi uwe huru na hakiMhimu asigombee watakigawa chama atumie busara
Wanasiasa hawajali hayo...Mitanzani ni mijitu minafiki Sana ivi imagine baba wa Taifa angelazimisha kukaa madarakani mwaka 1985 halafu aje labda atolewe kwa nguvu na jeshi angekuwa na heshima yeyote katika nchi hii?
Lazima tujifunze kuwajibika kwenye Jambo lolote hakuna mtu special kwenye taasisi anayeweza kukaa miaka 20 taasisi inaanguka halafu bado anataka kukaa tu pale huu ni ujinga.
Hili sio hata swala la kujiuliza kwa masaa 48 ni swala la kusema tu kwamba Mimi sigombei over!
Mbowe mbowe mbowe nimekuita Mara tatu Kama utabishana ukweli utakuwa na mwisho mbaya Sana kwa laana za Watanzania wapenda mabadiliko!!
Watu account zetu zilishafungwa kwa sababu ya hiki chama
Tenda zetu tulishazuiwa kulipwa kwa sababu ya hiki chama
Watu wameteswa wengine hawana hatia Kama wakina Akwilina maisha yao yamekatishwa Leo hii chama hiki kiishie hewani tu aisee!!
Think twice leave!!
mkoa wa zanzibar upande wa pemba,Haahaa lini umeongea na wazanzibar mkuu?

Kama yule wa butiama alivo yiachia nchi yetu mikononi mwa ibilisi shweitaniInategemea Mzee Mtei anatakaje 🐼
Tatizo huyu mzee hiki chama ndio riziki kwa familia yake na uko wake wote ,tatizo linanzia hapa ,mzee anawashangaa wanasema aachie ngazi..miaka mitano ijayo atakuwa anakaribia miaka 70.
..kwa maoni yangu huo sio umri sahihi wa kuongoza siasa za upinzani ktk mazingira ya Kitanzania.