Pre GE2025 Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mumeo apewe uenyekiti tuu mana utakufa njaa 😂
 
Reactions: Tui
Ila baada ya huu uchaguzi sidhani kama CHADEMA watakaa sawa..Machawa yataparuana sana,minyukano itakua mikali mno.
 
Mbowe kama anaipenda chadema kwa dhati amwachie lissu agombee, fikiria mtu kawa kiongozi kwa miaka 20, lipi jipya? Kwa sasa chadema inahitaji mabadiliko makubwa. asiwasikilize machawa
 
Ila baada ya huu uchaguzi sidhani kama CHADEMA watakaa sawa..Machawa yataparuana sana,minyukano itakua mikali mno.
akija Mbowe atawatuliza, kama alivyotoa busara zake leo kuwa sisi ni wamoja, tuache matusi, tusameheane etc etc ..... huyu mwingine chadema itapasuka kabisa kabisa maana hana Busara wala hekima. Anaropoka kama kichaa and surely he needs mental checkup!
 
Yaani nchi hii ngumu sana wamevamia kutafuta nini.
Kama kweli ni wanachama wa CDM acha tu ccm iendelee kutawala labda wajukuu wetu watakuja kuwa na akili
 
Mbowe aweke kura ya maoni aone matokeo. Akigombea anakiua chama. Hili huwezi kuwaona Boni Yai na Ntobi wakiliona. Boni yai ana mwili kama Simtank akili yote imemezwa.
Haahaa, bon yai yeye anawaza uchawa tu
 
Wanasiasa hawajali hayo...
 
Haahaa lini umeongea na wazanzibar mkuu?
mkoa wa zanzibar upande wa pemba,
uliwakilishwa vizuri sana leo kwenye kauli za wenyeviti wa chadema kumshinikiza chairman Mbowe kugombea uenyekiti wa chadema Taifa.
 
Kuna watoto walizaliwa Mbowe akiwa Mwenyekiti wa Chadema na leo wanamalizia vyuo, Mbowe hawezi kuleta mabadiliko ni mda sasa akae pembeni
 
Hiwezi kubadilisha uongozi katikati ya mapambano huko ni kuwagawa makamanda na ndiyo maana CCM wameshatangaza FORM MOJA TU ya Urais ili kukwepa kukigawa chama chao.

Kwa hiyo wana CDM nendeni na kamanda wenu wa anga - Zimwi likujualo ndugu zangu...

Kura zipigwe, kura zihesabiwe mtu akipata kura 4 asije kusingizia kaibiwa, wana CDM mna utamaduni wenu basi utumieni...
 
..miaka mitano ijayo atakuwa anakaribia miaka 70.

..kwa maoni yangu huo sio umri sahihi wa kuongoza siasa za upinzani ktk mazingira ya Kitanzania.
Tatizo huyu mzee hiki chama ndio riziki kwa familia yake na uko wake wote ,tatizo linanzia hapa ,mzee anawashangaa wanasema aachie ngazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…