Pre GE2025 Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

..kwenye Power Breakfast Tundu Lissu alisema mchango wa Freeman Mbowe katika kupigania mageuzi na demokrasia unapaswa kuandikiwa vitabu.

..makamu wawili wanachaguliwa na mkutano mkuu, na Katibu Mkuu nadhani anapendekezwa na Mwenyekiti.

..John Mnyika ameonekana kutokuwa na furaha katika chama tangu tukio la kumleta Lowassa. Sijui tatizo lake ni nini haswa.
 
Unfortunately Lissu anajaribu "to have his cake and eat it". It is rather late for him kusema hayo baada ya kuwaachia surrogates wake wamzushie kila aina ya uchafu. Alitakiwa aizime ilipoanza tu kama alivyofanya John McCain pale mfuasi wake alipo insinuate kuwa Obama ni muislamu na sio mzalendo. McCain alimwambia kuwa ingawa wana tofauti za mtizamo, Obama ni mzalendo na sio muislamu. Lissu anafanya tofauti. Wewe unadhani anaposema kuwa pesa za chama zinawekwa kwenye akaunti binafsi alikuwa anamzungumzia nani? Au hii alipofanya kumtetea Mbowe wakati anamrusha chini ya basi kuwa kuna mpango wa kumuua na kumsingizia Mbowe. Halafu siku ya pili anaenda kwenye ofisi ya CDM akiwa amevaa bullet proof vest.

Najua kuwa Makamu wanachaguliwa na Mkutano Mkuu. Ninachongojea ni kuona nani atachukua fomu kugombea u Makamu Bara baada ya Mbowe kutangaza kung'atuka.

Mimi nadhani John Mnyika ni mtu wa Mbowe na aliingia baada ya Mashinji kutemwa na Mbowe. Na itakuwa vigumu yeye kuendelea katika nafasi hiyo maana kama Mtendaji Mkuu wa CDM, tuhuma zote za Lissu zinamhusu moja kwa moja. Itakuwa busara kwake kuondoka na Mbowe ili Lissu awe huru kuja na timu yake.

Nangojea Chadema ya Lissu with trepidation. I hope he proves me wrong kwa kukiongoza chama chake to greater heights.

Amandla...
 
John Mnyika ameonekana kutokuwa na furaha katika chama tangu tukio la kumleta Lowassa. Sijui tatizo lake ni nini haswa.
Seems vitu vingi sana vinamuumiza na amekata tamaa. Kwenda CCM hawezi na kubaki upinzani anaona uzito. Ila akipata mwenyekiti aliyenyooka nuru na furaha yake itarudi.
 
Mimi nadhani John Mnyika ni mtu wa Mbowe na aliingia baada ya Mashinji kutemwa na Mbowe.
Sio kweli, Mnyika ni mtu wa Dr Slaa na aliumia sana kwa Slaa kujitoa na pia Outsider kama Mashinji kupewa ukatibu mkuu wakati alikua ni failure. Kwahiyo hajawahi na hatowahi kuwa mtu wa Mbowe. Ukisoma tu body language yake utagundua haridhiki kabisa na mambo yanavyoenda ila ndio vile hana namna akimpinga Mwenyekiti atafukuzwa siku hiyo hiyo.
 
Hajawahi kulisema hili popote ni uzushi tu hakuna video wala credible source.
Ninavyojua alisema hivyo Mlimani City wakati anatangaza nia ya kugomea Uenyekiti. Katika baadhi ya vitu alivyosema atabadilisha ni lack of transparency katika mambo ya fedha na mfano aliotoa ni huo wa pes kuingizwa katika akaunti binafsi. Kama nimekosea, nina apologise.

Amandla...
 
Kwa vile simjui Mnyika, tutaona itakavyokuwa chini ya Lissu. Hayo ya body languages ni kupiga ramli. Mimi ninavyomuona ni askari muaminifu chini ya uongozi wa Mbowe. Una cho insinuate ni kuwa Mbowe ni dikteta, fisadi n.k. na Mnyika alikuwa anamuachia afanye atakavyo kwa sababu ya kuogopa kupoteza ugali wake. Ni tuhuma kubwa sana. Na baada ya tuhuma kama hizo unadhani Mbowe atathubutu kujihusisha na CDM katika nafasi yeyote ya uongozi hata kama mshauri tu?

Lakini uchaguzi hauko mbali. Yote yatawekwa wazi na tutajua nani yuko upande gani. Haikutakiwa kuwa hivi.

Amandla...
 
Atoe uamuzi gani tena wakati alishasema haondoki.
Manyumbu yatakaa attention "enhee, tusikie mwenyekiti atasemaje"
Kafanyeni kazi wajinga nyinyi, mwenzenu kazi yake ni kuwadanganya nyinyi punguani msiojielewa.
 
Atoe uamuzi gani tena wakati alishasema haondoki.
Manyumbu yatakaa attention "enhee, tusikie mwenyekiti atasemaje"
Kafanyeni kazi wajinga nyinyi, mwenzenu kazi yake ni kuwadanganya nyinyi punguani msiojielewa.
Nyie UWT ni lini mlichagua Mwenyekiti wa CCM taifa?
 
Tunamshauri mzee Mbowe asithubutu kuingia kwenye mtego wa kugombea tena nafasi hiyo. busara ag'atuke na kuwaachia damu mpya Lisu aendelee kukijenga chama
Endapo Mbowe ataingia kwenye mtego wa kugombea tena nafasi hiyo basi ajiandae kwa mambo makubwa 2;
1. Kuambishwa na Lisu.
2. Kukipasua chama.
Kama ataongozwa na busara basi atachia kiti kwa hiari yake na kwa kujali masilahi mapana ya demokrasia.
 
Sawa msemaji wa CHADEMA JF-KWA USAHIHI ZAIDI MSEMAJI WA KAMBI YA CHADEMA GAIDI MBOWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…