Pre GE2025 Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe kama anaipenda chadema kwa dhati amwachie lissu agombee, fikiria mtu kawa kiongozi kwa miaka 20, lipi jipya? Kwa sasa chadema inahitaji mabadiliko makubwa. asiwasikilize machawa
Labda ,Lema ,Mrema na Lile li Polygon (Bon yai) waugue gafla
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda Wake, atazungumza na Dunia kupitia Waandishi wa Habari muda wowote kuanzia sasa.

Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi

====================================================

  • Akiwa anazungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake, Freeman Mbowe amesema kuwa anahitaji muda zaidi mpaka siku ya Jumamosi.

  • Mbowe alidokeza kuwa ataongea na wanahabari kuhusu uamuzi kuanzia saa 5 asubuhi

Deadline kurudisha fomu si Ijumaa
 
Kwa Sasa busara inayosubiriwa kutoka kwa FAM, ni kusema sitagombea nabaki Kama mshauri mkuu ndani ya chama. Nishuhudie vijana wangu uwezo wao katika kuisimamia taasisi niliyoijenga kwa miaka 20

Kitendo Cha wanachama kumfuata na kuonesha bado Wana Imani naye ndiyo muda mzuri wa kuondoka sio mpaka angoje watu wamkatae kwa kura au aibu nyingine hata Kama atashinda.

Ni heshimu kuondoka ukiwa bado unahitajika, ushauri wako utaheshimiwa kwa muda mrefu katika taasisi unayepumzika kuiongoza
 
Hiwezi kubadilisha uongozi katikati ya mapambano huko ni kuwagawa makamanda na ndiyo maana CCM wameshatangaza FORM MOJA TU ya Urais ili kukwepa kukigawa chama chao.

Kwa hiyo wana CDM nendeni na kamanda wenu wa anga - Zimwi likujualo ndugu zangu...

Kura zipigwe, kura zihesabiwe mtu akipata kura 4 asije kusingizia kaibiwa, wana CDM mna utamaduni wenu basi utumieni...
Tunajua chadema inapambania demokrasia nchini basi iwe mfano siyo kuwa na mwenyekiti wa milele
 
Sanduku la kura si lipo sheikh na si zitahesabiwa hadharani- tunachoomba baada ya kuhesabiwa mtu asianze kutafuta visingizio - ule mziki si wa kitoto sheikh - Mbowe ni jabari lile.
 
..kuwe na balance.

..ang'atuke kwa HESHIMA.

..asing'atuke kwa namna ambayo itaonekana kama amelazimishwa, na chama haki-appreciate utumishi wake.

..Katiba ya chama ndio inaelekeza Wenyeviti Wastaafu kuwa wajumbe wa kamati kuu. Hilo sio jambo jipya lililoibuliwa muda huu.
Shida ni wapambe. Kabla hata hajatoa tamko pamekuwa na maneno ya ovyo mengi tu dhidi yake. King'ang'azi, analinda Soccos yake, mtu wa Samia n.k. Kuna wengine wamefikia hatua ya kudai kuwa hamna alichochangia CDM bali matatizo. Kukaa kimya kwa Lissu wakati Mbowe anarushiwa madongo hakusaidii.

Hata kama Katiba ya CDM inasema hivyo haimlazimishi kushiriki kikamilifu katika hivyo vikao. Anaweza kabisa kusema kuwa anachukua likizo ili awe na familia yake. Na hamna atakaemlaumu akifanya hivyo. Approach ya Lissu sio nzuri na haina afya kwa chama chake. Anq wa antagonise watu ambao kwa vyovyote atawahitaji. Stunts za kuvaa bullet proof vest akiwa kwenye ofisi zinawafurahisha chawa wake na wale wanaotaka kuvunja ushirikiano kati yake na Mbowe. Kwa wengine unaacha bad taste. Huyu sio mjenzi wa madaraja bali ni mvunjaji. Na yakimshinda sitashangaa kama atasepa na kumrushia lawama Mbowe. Amenidisappoint sana.

Amandla...
 
Kwa Sasa busara inayosubiriwa kutoka kwa FAM, ni kusema sitagombea nabaki Kama mshauri mkuu ndani ya chama. Nishuhudie vijana wangu uwezo wao katika kuisimamia taasisi niliyoijenga kwa miaka 20

Kitendo Cha wanachama kumfuata na kuonesha bado Wana Imani naye ndiyo muda mzuri wa kuondoka sio mpaka angoje watu wamkatae kwa kura au aibu nyingine hata Kama atashinda.

Ni heshimu kuondoka ukiwa bado unahitajika, ushauri wako utaheshimiwa kwa muda mrefu katika taasisi unayepumzika kuiongoza
'Nitatoa neno langu la mwisho baada ya masaa 48',nikiangalia lugha ya picha huyu bwana inaonekana this time ataachia ngazi...
 
Shida ni wapambe. Kabla hata hajatoa tamko pamekuwa na maneno ya ovyo mengi tu dhidi yake. King'ang'azi, analinda Soccos yake, mtu wa Samia n.k. Kuna wengine wamefikia hatua ya kudai kuwa hamna alichochangia CDM bali matatizo. Kukaa kimya kwa Lissu wakati Mbowe anarushiwa madongo hakusaidii.

Hata kama Katiba ya CDM inasema hivyo haimlazimishi kushiriki kikamilifu katika hivyo vikao. Anaweza kabisa kusema kuwa anachukua likizo ili awe na familia yake. Na hamna atakaemlaumu akifanya hivyo. Approach ya Lissu sio nzuri na haina afya kwa chama chake. Anq wa antagonise watu ambao kwa vyovyote atawahitaji. Stunts za kuvaa bullet proof vest akiwa kwenye ofisi zinawafurahisha chawa wake na wale wanaotaka kuvunja ushirikiano kati yake na Mbowe. Kwa wengine unaacha bad taste. Huyu sio mjenzi wa madaraja bali ni mvunjaji. Na yakimshinda sitashangaa kama atasepa na kumrushia lawama Mbowe. Amenidisappoint sana.

Amandla...

..nakubaliana na wewe kwamba WAPAMBE ni tatizo kwa Mbowe, na kwa Lissu.
 
Hasa kwa Lissu. Lissu amekuwa anapulizia moto wakati Mbowe hajasema chochote bali kusisitiza umoja katika chama. Nadhani imani ya Lissu ni kuwa baada ya uchaguzi Mbowe atasamehe na kusahau kila kitu na kuungana nae katika kutibu majeraha yaliyotokea. Sidhani kama itakuwa hivyo. Nadhani yafuatayo yatafuata:
1. Mbowe atatangaza kutogombea halafu atakaa pembeni.
2. Mnyika na makamu wake bara wataachia ngazi ama Lissu atateua watu wengine wa kuchukua nafasi zao.
3. Baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu nao wataachia ngazi.
4. Uongozi mpya utaweka wazi ubadhirifu na ufisadi mkubwa unaofanywa na Mbowe na sekretariat yake ( tayari trial ballons za kuhujumiwa kwa laptop zimerushwa).
5. Timu mpya ya wapiganaji yenye uwezo wa kupambana na CCM pamoja na serikali yake itaundwa.
6.Mazungumzo ya maridhiano yatazikwa rasmi na watanzania wataingia barabarani kwa wingi kushinikiza Katibu Mpya, Tume Huru ya Uchaguzi na kutimuliwa kwa wakina Halima.

Yetu macho.

Amandla...
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda Wake, atazungumza na Dunia kupitia Waandishi wa Habari muda wowote kuanzia sasa.

Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi

====================================================

  • Akiwa anazungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake, Freeman Mbowe amesema kuwa anahitaji muda zaidi mpaka siku ya Jumamosi.

  • Mbowe alidokeza kuwa ataongea na wanahabari kuhusu uamuzi kuanzia saa 5 asubuhi

Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa 😂 eti atatangaza nia yake wakati tushajua jamaa ana uroho wa madaraka

Na anachokitaka ni hiko kiti tu
 
Back
Top Bottom