Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
Mkuu kwanza, nakuheshimu kwa hoja na michango yako mingi humuni jukwaani.Mkuu,
Mimi nimekuwa nikikemea hii tabia tangu enzi za Magufuli. Nimekemea sana Magufuli kuchanganya siasa na dini. Nimekemea Magufuli alivyosimama kanisani St. Peters na kuanza kuhubiri akimsema Jaji Thomas Mihayo kuvaa barakoa kanisani. Unajihakikishiaje sikukemea? Umesoma posts zangu zote?
Au wewe ni kati ya wale watu wazembe wanaokwenda kwa assumptions tu?
Unasema sikusema lolote Samia alipomzawadia Mwinyi Mercedes Benz, unajuaje hilo? Unahakikishaje mimi sikusema lolote?
Au unajikubalisha tu hivyo kivivuvivu tu?
Ukitaka tufukue nyuzi tutafukua hapa.
What are you talking about?
Unaniita mnafiki kama umechunguza posts zangu zote hapa JF?
Mbowe ni kiongozi wa chama cha upinzani. Kwa nini anamkaribisha rais kuchangia kujenga kanisa kama vile hajui kanuni za Separation of Religion and State?
Au una kasumba ya kufikiri kila mtu anayemsema Mbowe ni mshabiki wa CCM?
Wengine tuko consistent hapa, tunasimamia principle bila kujali mtu.
Nimemsema Magufuli, nimemsema Samia, nimemsema Mbowe kwenye hili.
Consistently.
Wanaonifuatilia watajua hilo.
Ni wewe tu unarukia mada na kutoa shutuma jumlajumla bila hata kuuliza au uhakiki.
Kwenye hoja hii na tofautiana nawe uliposhindwa kutofautisha kati ya Samia na Serikali ya Samia.
Itapendeza ukiweka hizo link za hoja zako za zamani kuliko maneno mengi! Ziweke hapa kama anavyofanya ndugu Pascal Mayalla!
Mkuu Mbowe angesema serikali imetoa mchango, hoja yako ingekuwa na nguvu! Na ungekuwa right jinsi ya mchango wako.
Naomba usikilize upya sauti ya mbowe au usome vizuri nukuu ya Mbowe kwenye Gazeti la mwananchi; Mbowe kasema mchango umetoka kwa Samia na familia yake!
Mkuu usichanganye mada!