LGE2024 Freeman Mbowe: Pambaneni hakikisheni hakuna kura inaibiwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

LGE2024 Freeman Mbowe: Pambaneni hakikisheni hakuna kura inaibiwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mbowe amechanganyikiwa any way tuiweke kwenye tafsiri tu kama ya mapambano ya kupata ugali!
 
Shule mnazosoma siku hizi zina kasoro kubwa sana.Sasa anaposema uchaguzi ni vita ! manake ushinde au ushindwe ! Huu ni msemo wa nahau ! amewapa fumbo wafuasi wake wa CHADEMA wahakikishe wanaingia katika uchaguzi na wanafuata hatua zote za uchaguzi ili kupata matokeo chanya.Sasa mnakuja majuha na tafsiri yenu ya rejareja !
Acheni kumlisha maneno Uhuru !
 
🤣🤣🤣 Kisabengo umeangalia context
 
Kwanza inaeleweka lakini huyu Pendo ameweka maneno yake tupu
 
ni vita kweli si tunasikia maeneo mengine watoa fomu wanakimbia, au kuwapa fomu wasiohusika hapo Vita ni vita Mura
 
Kwanini usiende kutoa taarifa kituoni uje huku kwa wasoma UZI ambao hawatakusaidia kitu.
 
Uko sahihi mno😂

Waongezee na hii, Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Kenya hadi kufika hapo walipo walipitia njia hiyo ndio maana box la kura ,mihimili ya utawala inaheshimiana na katiba inafuatwa.

Hawakufika hapo kwa bahati mbaya.
 
huyu mwenyekiti .......... tangu lini uchaguzi ukawa VITA?!! huyu mzee dhamira yake sikuzote ni kuchafua Amani ya nchi yetu kwa singizio cha haki.
 
Back
Top Bottom