Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyekiti wa Chama wa chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema Freeman Mbowe ameungana na wanachama kuwasindikiza wagombea wa vijiji vinne vinavyounda kata ya Machame Narumu, Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro
source
View: https://x.com/MwanzoTvPlus/status/1851859898469863604
Kwa kiasi kikubwa, Mbowe pia ni tatizo kwa suala zima la ukuaji wa Demokrasia, haki na usawa kwa upande wa CHADEMA. Erythrocyte wewe binafsi huenda unaweza kushindwa kunielewa kwa Sasa, lakini pole pole naamini utakuja kunielewa hapo baadaye.Pendo, Itakuwa hasara sana ikiwa na wewe unalipwa na ccm
Kajifunze kuandika.Kafie mbele huko
Niko tayari muda mrefu kwa hatua baada ya kura zenu kuibiwa.Kwa hiyo maana yako ni kuwa, hata kwenye hatua zinazo fuatia baada ya wanaoibiwa kura zao kukataa ujinga huo, wewe bado utakuwa hupendi kushiriki kwenye hizo hatua zinazo fuatia?
Uko sahihi, Mbowe ni kansa ya demokrasia ndani ya cdm.Kwa kiasi kikubwa, Mbowe pia ni tatizo kwa suala zima la ukuaji wa Demokrasia, haki na usawa kwa upande wa CHADEMA. Erythrocyte wewe binafsi huenda unaweza kushindwa kunielewa kwa Sasa, lakini pole pole naamini utakuja kunielewa hapo baadaye.
Dah!Niko tayari muda mrefu kwa hatua baada ya kura zenu kuibiwa.
Mimi sijui!Hata kama mkipambana, formula ya bao la mkono itatumika.