PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 969
- 1,055
Kwanza inaeleweka lakini huyu Pendo ameweka maneno yake tupuShule mnazosoma siku hizi zina kasoro kubwa sana.Sasa anaposema uchaguzi ni vita ! manake ushinde au ushindwe ! Huu ni msemo wa nahau ! amewapa fumbo wafuasi wake wa CHADEMA wahakikishe wanaingia katika uchaguzi na wanafuata hatua zote za uchaguzi ili kupata matokeo chanya.Sasa mnakuja majuha na tafsiri yenu ya rejareja !
Acheni kumlisha maneno Uhuru !
Sure na utapeli
Bila njia mbadala hakutakuwa na heshima katika box la kura.
Uko sahihi mno😂
Wanaandikishwa hadi wafu halafu wanasema kuna uchaguzi?Sure na utapeli
Kenya hadi kufika hapo walipo walipitia njia hiyo ndio maana box la kura ,mihimili ya utawala inaheshimiana na katiba inafuatwa.Uko sahihi mno😂
Waongezee na hii, Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.