PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 969
- 1,055
- Thread starter
-
- #21
Hawa nia yao ni kuleta machafuko nchin na sio vinginevyohuyu mwenyekiti .....tangu lini uchaguzi ukawa VITA?!! huyu mzee dhamira yake sikuzote ni kuchafua Amani ya nchi yetu kwa singizio cha haki.
wewe ina maana unataka kutufanisha na kenya..?Kenya hadi kufika hapo walipo walipitia njia hiyo ndio maana box la kura ,mihimili ya utawala inaheshimiana na katiba inafuatwa.
Hawakufika hapo kwa bahati mbaya.
Sahihi kabisa, kinyume na hapo tutaendelea kuimbishwa amani na walioficha mapanga mfukoni.Kenya hadi kufika hapo walipo walipitia njia hiyo ndio maana box la kura ,mihimili ya utawala inaheshimiana na katiba inafuatwa.
Hawakufika hapo kwa bahati mbaya.
Hamna mliwezalo kama mlimkimbia mwenyekiti wenu kwenye maandamo na kuamuacha na familia yake, kuwa kama kenya bado sana nyieSahihi kabisa, kinyume na hapo tutaendelea kuimbishwa amani na walioficha mapanga mfukoni.
Kutufanisha ndio nini?wewe ebu tutole wako inaana unataka kutufanisha na kenya..?
Mbowe ni kada undercover wa ccm ya samia ...toka apokee rushwa kutoka kwa sa100 wamekuwa kitu kimoja kwa nje anajidai upinzani kwa ndani ni mlamba asali wa sa100Mwenyekiti wa Chama wa chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema Freeman Mbowe ameungana na wanachama kuwasindikiza wagombea wa vijiji vinne vinavyounda kata ya Machame Narumu, Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro
source
View: https://x.com/MwanzoTvPlus/status/1851859898469863604
Ni kweli hatuko sawa na Kenya, maana sisi ni makondoo hata ccm wakipora uchaguzi tunatakiwa tunyamaze tu ili tupate amani ya mchongo.wewe ebu tutole ujinga wako inaana unataka kutufanisha na kenya..?
Uko sahihi kabisa, una hoja nyingine zaidi ya huu utoto uliouleta hapa?Hamna mliwezalo kama mlimkimbia mwenyekiti wenu kwenye maandamo na kuamuacha na familia yake, kuwa kama kenya bado sana sana nyumbu nyie
Mbowe amechanganyikiwa any way tuiweke kwenye tafsiri tu kama ya mapambano ya kupata ugali!
Wenye akili timamu wote wapo CCM sio kuishabikia kuipigia kura ushabiki upo chadema kujiandikisha hakuna kura hawapigi na maandamano hawatoki!Hivi bado kuna mtu mwenye akili timamu anaishabikia CCM?!
"Njia mbadala" inaanzia kwenye "box la kura". linapo najisiwa.Bila njia mbadala hakutakuwa na heshima katika box la kura.
Kususa ni kuwakubali moja kwa moja hao wanao fanya "upoteze muda na fedha" na kuendelea kusubiri bahati tu ya wao kukuonea huruma wakitaka.
Nyie bado mnaomini nendeni kwenye box la kura, mkiibiwa mje mtujulishe."Njia mbadala" inaanzia kwenye "box la kura". linapo najisiwa.
Kususa ni kuwakubali moja kwa moja hao wanao fanya "upoteze muda na fedha" na kuendelea kusubiri bahati tu ya wao kukuonea huruma wakitaka.
Hapana. Siyo kuja "kuwajulisha", tunawahimiza muwe tayari kwa hiyo hatua inayo fuatia baada ya kura zinazo ibiwa.Nyie bado mnaomini nendeni kwenye box la kura, mkiibiwa mje mtujulishe.
Yaani mimi sina 2 boss, nikishasema sishiriki uchaguzi, sishiriki kweli, bali ni utekelezaji tu.Hapana. Siyo kuja "kuwajulisha", tunawahimiza muwe tayari kwa hiyo hatua inayo fuatia baada ya kura zinazo ibiwa.
Ngoja nikueleze kitu kipya (nadahani ni kipya).
CCM akiona mwitikio wa wananchi kuwa mkubwa sana kwenye kupiga kura, hatathubutu hata mara moja kufanya ujinga alio zoea kuufanya.
Ukisusa na kukaa nyumbani, tayari CCM anaihesabu kura yako ya kumkubali.
Kwa hiyo mkuu 'Tindo', si angalau hata ni bora kujitokeza tu kuonyesha umoja wako na hao watakaoshiriki kupiga kura, ili kumfanya CCM anywee, kuliko kubaki tu umekaa nyumbani ukisubiri njia mbadala, ambayo hata mwanzo wake haufahamiki?
Kwa hiyo maana yako ni kuwa, hata kwenye hatua zinazo fuatia baada ya wanaoibiwa kura zao kukataa ujinga huo, wewe bado utakuwa hupendi kushiriki kwenye hizo hatua zinazo fuatia?Yaani mimi sina 2 boss, nikishasema sishiriki uchaguzi, sishiriki kweli, bali ni utekelezaji tu.
Kafie mbele hukoKutufanisha ndio nini?
Inaana ndio nini?
Tutole ndio nini?
Ebu ndio nini?
Jina la nchi huanza na herufi kubwa ni Kenya sio kenya.
Jifunze kuandika kwanza.
Hata kama mkipambana, formula ya bao la mkono itatumika.Mbowe amechanganyikiwa any way tuiweke kwenye tafsiri tu kama ya mapambano ya kupata ugali!
CCM ni matapeli haswaWanaandikishwa hadi wafu halafu wanasema kuna uchaguzi?
Ajuza umezeeka bila mumeNenda mbele huko